Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Ni taasisi ipi iyenye dhamana ya moja kwa moja katika uagizaji mafuta nchini?!

Ni yeye Makamba na wasaidizi wake pale Wizara ya Nishati HQ, au TPDC iliyo chini ya Mataragio?!

Makamba aache siasa za kizee...

Isitoshe Mataragio hajasema kuna uhaba wa mafuta nchini bali amesema endapo meli haitafika within 15 days, panaweza kutokea uhaba!!

Muhimu ni kufahamisha probability ya meli husika kuweza kufika within 15 days na sio kuanza kutisha watu...

Meli zinakuwa tracked... muhimu ni kuwaambia wananchi meli iliyobeba mafuta Tanzania ipo uelekeo upi...

Kwa mfano, Ashley Lady ni Oil Tanker, na inaonesha ipo Ghuba ya Oman or anywhere around Arabian Peninsula for that matter, na inatarajiwa kuingia Dar November 15, 2021...

Ashley.png

Pamoja na Ashley Lady, pia kuna MP MR Tanker 2, na yenyewe is somewhere around Arabian Peninsula, na inatarajiwa kuingia Dar November 19 👇👇👇👇
MP MR Tanker.png

Nae James Mataragio needs to be smarter than this...

Asisahau kwamba anaitumikia Serikali ya CCM...

CCM ya Magu ambayo ilimtumbua kwa mihemuko tu, na hii ya Samia; zote ni CCM ni ile ile!!
 
Nasubiri uthibitisho wako juu ya umiliki wa January Makamba kwenye kampuni ya Halotell! Naona unazidi kuleta maneno Matupu tu
kwa nini wewe usilete uthibitisho kuonyesha wenye kampuni ni nani na Makamba na JK hawamo. Anayebishia neno ndiyo anatakiwa ku"prove" kuwa lisemwalo ni uongo.
 
Makamba na elimu yake ya kuunga unga anathubutu vipi kumpinga Daktari mtaalam na mbobezi wa petrol?? Alipaswa kukubaliana na ukweli na kusema hatua zinazochukuliwa ili kuondoa hofu lakini si kupinga
Makamba kasomeshwa na Benjamin William Mkapa unasema anaunga unga
Wewe mwenyewe hujawahi hata kutoka nje ya Tanzania una bwabwaja
 
Huyu jamaa sijui kama atafanya vizuri kama yalivyo matarajio ya wengi. Anyway, muda ni mwalimu mzuri. Akitaka afanye vizuri aache tamaa ya madaraka zaidi ya hayo aliyonayo.
Ninachokiona jamaa anatekeleza mikakati kwa ufanisi ila kuna kundi linamuandama yeye yuko bize anacheza kazi
 
Habari Zone Tz

Baada ya kuzushwa taarifa ya kuwepo Kwa uhaba wa mafuta nchini, Waziri wa Nishati Mhe January Makamba ametolea ufafanuzi suala hilo kupitia mtandao wake wa Twitter na kusema

"Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei."

Hakuishia hapo akatoa takwimu za kiasi Cha mafuta kilichopo nchini hadi siku ya Leo

[emoji419] Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

[emoji419] Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

[emoji419] mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.

More Updates
Instagram: @habarizonetz
Twitter: @HabariZoneTz
Facebook: Fact Site tz
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Pamoja na yoteyote binafsi ya Makamba Jr.

Naona yuko kwenye pressure sana, either kuna watu wanataka afeli au tayari mbio za Urais zimeanza kuna watu wanataka wamuharibie, maana kila kukicha linazuka jipya.

Makamba Jr kuwa mtulivu inaonekana upo kwenye vita kali, tumia akili kwenye kufanya mambo yako, hiyo wizara ni kubwa na ina mambo mengi, uko mtegoni.
Ndiyo hana uwezo sasa wa kuongoza hata mtaa! Hata jimboni kwake sisiemu imekosa watu kweli ni aibu! Kama wizara anataka kuwehuka akipewa kwa mfano, U-PM hapo si atatembea uchi kabisa!?
 
Makamba kasomeshwa na Benjamin William Mkapa unasema anaunga unga
Wewe mwenyewe hujawahi hata kutoka nje ya Tanzania una bwabwaja
Alipewa majibu ya mtihani wa form four na kufutiwa matokeo (nafikiri Gallanos). Ingekuwa Ulaya?USA angefungwa. Lakini kwa vile aslikuwa mtoto wa kigogo, bado anaendelea. Jinsi anavyofanya kazi ni kithibitisho kamili alikuwa mwizi wa mitihani. Anachoweza yeye ni makundi ya mitandaoni na maandiko ya kugushi/plagiarism.
 
Makamba kasomeshwa na Benjamin William Mkapa unasema anaunga unga
Wewe mwenyewe hujawahi hata kutoka nje ya Tanzania una bwabwaja
Kwa hiyo unaamini uwezo wake katika sekta ya mafuta ni mkubwa zaidi ya Mataragio? Kusomeshwa na Mkapa ndio kipimo chako cha usomi? Kama ndivyo nadhani akili yako imepotoka kumlinganisha mtu mwenye Phd na mwenye elimu ya ahsante Mkapa!
 
Lengo la makamba nikutaka kumuondoa mataragio..kumbuka Samia siku anaingia ofisini alimuondoa na kumtangaza uvccm wa bsc community development kuwa DG wa TPDC baada ya watu kupiga kelele ndo akapatilisha..So bado amataragion wamemuwinda na soon ataondolewa
Hakusomea kuwa Mkurugenzi wa mafuta
Alisomea kuwa mtaalamu wa mafuta so vyeo ni dhamana
 
Kwa hiyo unaamini uwezo wake katika sekta ya mafuta ni mkubwa zaidi ya Mataragio? Kusomeshwa na Mkapa ndio kipimo chako cha usomi? Kama ndivyo nadhani akili yako imepotoka kumlinganisha mtu mwenye Phd na mwenye elimu ya ahsante Mkapa!
Ana uwezo mkubwa kwenye Uongozi na exposure
Umejibu ki muhemko
Swala lilikuwa mnasema makamba elimu kaunga unga ndo nilikua najibu
 
Huyo mkurugenzi wa TPDC naye ni tatizo, huwezi kutabiri kitu ambacho hakija wahi kutokea sababu meli ipo njiani inakuja, kiukweli makamba yupo sahihi jamaa ameleta taharuki kubwa kuhusu mafuta na hata kama ikitokea jambo kama analosema jitahada za haraka zitachukuliwa za muda mfupi sababu kenya huwa wanaingiza mafuta ya kutosha sana kupitia bandari yao ya mombasa tungeweza kuchukua huko huku tuna solve tatizo letu.
Ni kama anatengeneza tention bila sababu
Ni kama anakwambia wauzaji wa mafuta wapandishe bei
 
Habari Zone Tz

Baada ya kuzushwa taarifa ya kuwepo Kwa uhaba wa mafuta nchini, Waziri wa Nishati Mhe January Makamba ametolea ufafanuzi suala hilo kupitia mtandao wake wa Twitter na kusema

"Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei."

Hakuishia hapo akatoa takwimu za kiasi Cha mafuta kilichopo nchini hadi siku ya Leo

[emoji419] Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

[emoji419] Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

[emoji419] mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.

More Updates
Instagram: @habarizonetz
Twitter: @HabariZoneTz
Facebook: Fact Site tz
Mkurugenzi mkuu wa TPDC Alipatwa na kichaa akatangaza kitu ambacho hakipo?
 
Ni taasisi yenye dhamana ya moja kwa moja katika uagizaji mafuta nchini?!

Ni yeye Makamba na wasaidizi wake pale Wizara ya Nishati HQ, au TPDC iliyo chini ya Mataragio?!

Makamba aache siasa za kizee...

Isitoshe Mataragio hajasema kuna uhaba wa mafuta nchini bali amesema endapo meli haitafika within 15 days, panaweza kutokea uhaba!!

Muhimu ni kufahamisha probability ya meli husika kuweza kufika within 15 days na sio kuanza kutisha watu...

Meli zinakuwa tracked... muhimu ni kuwaambia wananchi meli iliyobeba mafuta Tanzania ipo uelekeo upi...

Kwa mfano, Ashley Lady ni Oil Tanker, na inaonesha ipo Ghuba ya Oman or anywhere around Arabian Peninsula for that matter, na inatarajiwa kuingia Dar November 15, 2021...

View attachment 2008164

Pamoja na Ashley Lady, pia kuna MP MR Tanker 2, na yenyewe is somewhere around Arabian Peninsula, na inatarajiwa kuingia Dar November 19 👇👇👇👇
View attachment 2008165

Nae James Mataragio needs to be smarter than this...

Asisahau kwamba anaitumikia Serikali ya CCM...

CCM ya Magu ambayo ilimtumbua kwa mihemuko tu, na hii ya Samia; zote ni CCM ni ile ile!!
Uki project uhaba una project mfumukonwa bei
Unawapa nafasi wafanyabiashara kutumia uo uzaifu kupandisha bei bila sababu
Makamba yuko sahihi
Mataragio kateleza
 
Huyu makamba kaanza kutengeneza vitisho kwa wataalamu, tukiweka hapa CV yake na ile ya mataragio utaelewa tu ni nani anayeongea jambo lenye mantiki, Nyerere aliharibu sana hii nchi kwa kuwapa nguvu wanasiasa.......mwanasiasa mwenye elimu ya kuunga unga anaweza kukurupuka tu na kuanza kuongea maswala yanayotakiwa kutolewa ufafanuzi na wataalamu.....​
Tuseme mataragio asingesema Luna uhaba wa mafuta Makamba ungesema nini
Mkuu wa taasisi una project uhaba kwenye public tunatengeneza aababubza wafanya Biashara kupandisha bei kwaio Waziri laxima afanye immediate clarification
 
Back
Top Bottom