Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko CBD Dar es Salaam ni makelele ya jenereta tu mchana kutwa. Kweli tunamkumbuka JPM, kwa sasa utafikiri tuna TANESCO mpya badala ya ile ya enzi za JPM.Hasa huyu Makamba naona wizara hii imemshinda mapema sana.
Mbona unakomaa na uthinitisho?? Utakuwa ni makamba ww, au mnufaika wakeLet’s uthibitisho! Hizo unazoleta zote ni stori ambazo hata mimi naweza kuzitunga
Hamza mwana ccm na wewe ndiye msaidizi wake tunakuangalia tuHamza Hukumu yake alishaipata Bado huyo gaidi wenu
Yawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!Mr February is a jack of all trades but master of none
Mataragio namfahamu n mtu makini lakn nasikitika hata dumu pale January atamshaur SSH aweke mpigaj mwenzake
Ndipo.tulipofika hapa tunaishi awamu ya 4 lakn tupo awamu ya 6
Hatuna imani naye tena na tutamshauru mama amtafute waziri mwingineHabari Zone Tz
Baada ya kuzushwa taarifa ya kuwepo Kwa uhaba wa mafuta nchini, Waziri wa Nishati Mhe January Makamba ametolea ufafanuzi suala hilo kupitia mtandao wake wa Twitter na kusema
"Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei."
Hakuishia hapo akatoa takwimu za kiasi Cha mafuta kilichopo nchini hadi siku ya Leo
[emoji419] Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.
[emoji419] Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34
[emoji419] mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.
More Updates
Instagram: @habarizonetz
Twitter: @HabariZoneTz
Facebook: Fact Site tz
Ticha Makamba Konde anahujumiwa ????Habari Zone Tz

Wewe ccm umewasahau?Mkurugenzi mkuu wa TPDC Alipatwa na kichaa akatangaza kitu ambacho hakipo?
Mwanasiasa HAAMINIKI...Uki project uhaba una project mfumukonwa bei
Unawapa nafasi wafanyabiashara kutumia uo uzaifu kupandisha bei bila sababu
Makamba yuko sahihi
Mataragio kateleza
Jemsi anapitia mwengi ila hawez kuyasemaYawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!
Vv
Aisee! Ndani ya siku 15,!Mwanasiasa HAAMINIKI...
Na kama Mwanasiasa mwenyewe ni wa CCM, ndo kabisa!!
Hivyo basi, huo usahihi wa Makamba unaosema ni usahihi unaoweza kuaminika na wana-CCM wenzake tu, hususani wana-CCM hoya hoya, pamoja na wafuasi wake!!
Na hao, hata kama kweli pakitokea uhaba wa mafuta bado watasimama na Makamba na CCM yao kwa sababu viumbe wa aina hii ni kana wameapa kutetea kila kitu hata kama kitakuwa ni cha ovyo namna gani!!
Kwa asiye mwana-CCM au Mwana-CCM hoya hoya, na asiye mfuasi wake, hususani mfuasi hoya hoya, katu hawezi kuelewa kauli inayotolewa kirahisi rahisi tu huku ikiambatana na vitisho kwamba hakuna uhaba wa mafuta wakati aliyesema kuwepo uwezekano wa uhaba wa mafuta ni taasisi ya serikali yenye wajibu wa moja kwa moja wa kushughulikia zoezi la uagizaji wa mafuta!!
Hawa watoto wa vigogo kuwapa madaraka makubwaa, mmmmmmhHasa huyu Makamba naona wizara hii imemshinda mapema sana.
Tatizo kwa mfumo wa watawala wetu lazima wapeane kisa ni mwenzetu.Hawa watoto wa vigogo kuwapa madaraka makubwaa, mmmmmmh
Hahahaha Chawa UPO!!??!??Waziri wa Nishati ndugu January Makamba amewahakikishia watanzania kuwa hakuna uhaba wa mafuta, akitoa ufafanuzi baada ya mkurugenzi Mkuu wa TPDC ndugu James Mataragio kukaririwa vibaya juu ya kauli ya uhaba wa mafuta
Waziri Makamba amefafanua kuwa
Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.
Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34
mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.
Hivyo mafisadi waliotaka kutumia kauli ya ya Mataragio kama kigezo cha kushawishi EWURA ipandishe bei ya mafuta wamegonga mwamba.
Heko Waziri Januari Makamba
Heko Mama Samia
Heko Tanzania
KAZI IENDELEE
[emoji23][emoji23]Hahahaha Chawa UPO!!??!??
Kiroboto lazime uwe wa kwanza ku commentHahahaha Chawa UPO!!??!??