Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

DxYC.jpg
 
Hasa huyu Makamba naona wizara hii imemshinda mapema sana.
Huko CBD Dar es Salaam ni makelele ya jenereta tu mchana kutwa. Kweli tunamkumbuka JPM, kwa sasa utafikiri tuna TANESCO mpya badala ya ile ya enzi za JPM.

Vv
 
Mr February is a jack of all trades but master of none

Mataragio namfahamu n mtu makini lakn nasikitika hata dumu pale January atamshaur SSH aweke mpigaj mwenzake

Ndipo.tulipofika hapa tunaishi awamu ya 4 lakn tupo awamu ya 6
Yawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!

Vv
 
Habari Zone Tz

Baada ya kuzushwa taarifa ya kuwepo Kwa uhaba wa mafuta nchini, Waziri wa Nishati Mhe January Makamba ametolea ufafanuzi suala hilo kupitia mtandao wake wa Twitter na kusema

"Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei."

Hakuishia hapo akatoa takwimu za kiasi Cha mafuta kilichopo nchini hadi siku ya Leo

[emoji419] Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

[emoji419] Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

[emoji419] mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.

More Updates
Instagram: @habarizonetz
Twitter: @HabariZoneTz
Facebook: Fact Site tz
Hatuna imani naye tena na tutamshauru mama amtafute waziri mwingine
 
Ticha Makamba Konde anahujumiwa ????
 
Uki project uhaba una project mfumukonwa bei
Unawapa nafasi wafanyabiashara kutumia uo uzaifu kupandisha bei bila sababu
Makamba yuko sahihi
Mataragio kateleza
Mwanasiasa HAAMINIKI...

Na kama Mwanasiasa mwenyewe ni wa CCM, ndo kabisa!!

Hivyo basi, huo usahihi wa Makamba unaosema ni usahihi unaoweza kuaminika na wana-CCM wenzake tu, hususani wana-CCM hoya hoya, pamoja na wafuasi wake!!

Na hao, hata kama kweli pakitokea uhaba wa mafuta bado watasimama na Makamba na CCM yao kwa sababu viumbe wa aina hii ni kana wameapa kutetea kila kitu hata kama kitakuwa ni cha ovyo namna gani!!

Kwa asiye mwana-CCM au Mwana-CCM hoya hoya, na asiye mfuasi wake, hususani mfuasi hoya hoya, katu hawezi kuelewa kauli inayotolewa kirahisi rahisi tu huku ikiambatana na vitisho kwamba hakuna uhaba wa mafuta wakati aliyesema kuwepo uwezekano wa uhaba wa mafuta ni taasisi ya serikali yenye wajibu wa moja kwa moja wa kushughulikia zoezi la uagizaji wa mafuta!!
 
Yawezekana January yuko pale kwa mission ya kuangalia 'makosa' ya James ili kumpa sababu Chifu Hangaya kumtumbua. Bila shaka unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani alimtoa James na wakambandika yule kada wa CCM mweupe kabisa na baada ya umma kupiga kelele na kuweka CV ya yule kada peupe mama akabaini kuwa ameingizwa chaka akamrejesha James baada ya saa 24!

Vv
Jemsi anapitia mwengi ila hawez kuyasema

Ile wizara ndio Target ya SSH kupata chake so lazma aweke watu wake ambao watamfanikishia analolitaka

MEDIA za chama hazipo upande was mama so mama anajiandaa kupambana nao ndan na nje mahasimu wake
 
Mwanasiasa HAAMINIKI...

Na kama Mwanasiasa mwenyewe ni wa CCM, ndo kabisa!!

Hivyo basi, huo usahihi wa Makamba unaosema ni usahihi unaoweza kuaminika na wana-CCM wenzake tu, hususani wana-CCM hoya hoya, pamoja na wafuasi wake!!

Na hao, hata kama kweli pakitokea uhaba wa mafuta bado watasimama na Makamba na CCM yao kwa sababu viumbe wa aina hii ni kana wameapa kutetea kila kitu hata kama kitakuwa ni cha ovyo namna gani!!

Kwa asiye mwana-CCM au Mwana-CCM hoya hoya, na asiye mfuasi wake, hususani mfuasi hoya hoya, katu hawezi kuelewa kauli inayotolewa kirahisi rahisi tu huku ikiambatana na vitisho kwamba hakuna uhaba wa mafuta wakati aliyesema kuwepo uwezekano wa uhaba wa mafuta ni taasisi ya serikali yenye wajibu wa moja kwa moja wa kushughulikia zoezi la uagizaji wa mafuta!!
Aisee! Ndani ya siku 15,!

Hivi ikitokea vita hizo Meli zikawa blocked watz watapona kweli?
 
Mkurugenzi wa TPDC na Waziri nani mtaalam wa hiyo taaluma?

Asimlazimishe aseme ambacho hakipo, maana ikitokea hayapo haitabadilisha ukweli
 
Waziri wa Nishati ndugu January Makamba amewahakikishia watanzania kuwa hakuna uhaba wa mafuta, akitoa ufafanuzi baada ya mkurugenzi Mkuu wa TPDC ndugu James Mataragio kukaririwa vibaya juu ya kauli ya uhaba wa mafuta

Waziri Makamba amefafanua kuwa
Dizeli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita milioni 90.7. Meli inayoitwa SLOANE SQUARE muda huu inashusha lita milioni 60.9 hivyo kupelekea mafuta ya dizeli kuongezeka na kuwa lita 151,694,926 yanayotosheleza kwa siku 24.

Petroli iliyopo kwenye matenki nchini hadi leo asubuhi ni lita 100,345,631. Meli iitwayo JAMES COOK inashusha lita 22,493,188; meli iitwayo JAG PUNIT iko njiani na lita 30,579,019 hivyo kupeleka mafuta ya petroli kuongezeka na kuwa lita 153,417,838 yanayotosheleza kwa siku 34

mafuta ya taa ndani ya siku tano zilizopita, nchini kulikuwa na lita 3,978,276 zinazotosheleza kwa mahitaji ya siku 46.

Hivyo mafisadi waliotaka kutumia kauli ya ya Mataragio kama kigezo cha kushawishi EWURA ipandishe bei ya mafuta wamegonga mwamba.

Heko Waziri Januari Makamba
Heko Mama Samia
Heko Tanzania
KAZI IENDELEE
 
Hahahaha Chawa UPO!!??!??
 
Back
Top Bottom