Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi kidogo kidogo.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022 na Waziri wa Nishati, January Makamba alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds kupitia kipindi cha Clouds 360.

Amesema utamaduni wa Watanzania ni kununua vitu kidogo kidogo hivyo wengi hawaoni unafuu wa gesi kwa kuwa inauzwa katika mitungi mikubwa.

“Kuwa na mtungi wa gesi kila nyumba inawezekana ni suala la kujasiliana maeneo ya vijijini wengi wanasema hawawezi kumudu, wakala yuko mbali siwezi kujaza. Ifike wakati mtu akiishiwa gesi kuna namna anaweza kuipata kwa haraka ukiangalia takwimu Tanzania tupo chini ya kilo 2 kwa matumizi ya mtu mmoja kwa mwaka wenzetu wapo kilo 46 lazima tuangalie tunafanya nini.

“Serikali tumechukua hiyo changamoto na tunaifanyia kazi, tunaona kama Je? Serikali iweke ruzuku, kodi iondolewe au ni vinginevyo,” amesema.

January amesema wengi wana kipato kidogo na matajiri na wenye kipato cha kati wanaomudu ni wachache, hivyo inabidi Serikali iangalia namna ya kulisaidia kundi hilo.

“Mitandao ya simu walifanikiwa baada ya kuweka vocha ndogondogo, ili nishati safi ya kupikia ishindane na mkaa itawezekana tukitumia teknolojia kuwezesha hata gesi iuzwe kwa bando, pale pana mita unaweka mpesa unafungua mita unaingiza gesi ya Sh100 unapika inaisha zipo vumbuzi ikawa moja ya majawabu inawezekana kuweka mitungi kila nyumba, kupitia uvumbuzi wa kibiashara,” amesema.

Mwananchi
wapunguze bei ya kujaza gesi.
 
Wakafanye study Japan waone wamewezaje kuingiza system za gesi kwenye nyumba.

Serikali iwekeze kwenye real estate ,wajenge nyumba kama za nhc kwa ajili ya kupangisha watu wa kipacho cha chini then in the future ni big generating income.....wakishajenga waoutsorce wao wawe wanapewa targeted amount yao tu kila mwezi.

Mkuu hebu tupe mfano wa bei ya nyumba ambayo unafikiri watu wa kipato cha chini nchi kwetu wataweza
 
Unaposema taifa gas ni kampuni ya kitanzania unamaanisha nini?! " Ndiyo maana wanatandaza mabomba ya gesi" Unamaanisha ni hao taifa gas wanatandaza mabomba?

Ni maswali mawili tofauti, nijibu tuanze mjadala hapa,..

Kwanza kabla hajajibu unatakiwa kujua kuwa mabomba ya gas na gas inayosambazwa majumbani kuanzia 2019 ni mradi TPDC
 
Huu upumbavu utafute wa kuwaambia. Gesi ya 1000 eti ni nyingi, stupid kabisa
Anachosema Meneja Wa Makampuni hapo juu ni kwamba unaopewa mtungi mkubwa wenye gesi full na unakua na mita yake. Ukilipia 1000, mita inaruhusu utumie kiwango cha gesi chenye thamani hiyo tu.
Kama ilivyo LUKU na umeme, ukitaka umeme wa jero unapata.
Kama ilivyo mkaa, ukitaka wa buku unapata.
Na gesi ndio kwa mtindo huo.

Anayeona hatosheki na gesi ya 1000, na anunue ya 10,000 au ya 100,000 kama ilivyo kwenye mkaa au umeme.
 
Mbona watu wanafunga namm natangaza kila siku. Piga simu hii tukufungie 0747744895
Wanafunga gas aslia ya TPDC ambayo mabomba yako mitaan sinza? Acha uwongo wewe na hyo M GAS yako jamaa kasema mambo ya gas aslia kama ya mtwara si hzo gas zenu uchwara gas ya elf 1 huwez pkia wali na mboga ukaivisha.
 
Gesi ya 1000 ni nyingi sana na inakaa muda mrefu
Wewe ni muongo na hao wenzio humu n wapotoshaji ameweka thread humu kupotosha watu, unaulzwa inakaa muda gn umejbu inategemea matumiz mara ooh inakaa muda mrefu sn sjui unakuwa hupiki au, nyie n sawa na wale jamaa wa solar tu mnajdai mnasaidia bt mtu mwny akili akpga hesabu ya gas iliyokwny mtungi wenu anajkuta katoa pesa ndefu sn bora angenunua oryx tu, gas ya elf 1 haimalz kupka wali na mchicha kama mi muongo watakuja mashuhuda wengne hapa maana mi nimewai tumia gas yenu ni utopolo tu kudanganya watu gas ya buku inaweza msaidia mtu kupka chakula japo hata kwa sku nzma hata kama hapkii maharage, wkt mkaa wa buku mtu anapkia mpk maharage na kila ktu na unabaki.
 
Kwa siku mtu mwenye watoto 4 kuendelea anatumia gram 200 ya gas.

1Kg ya gas kwa wastani ni shillings 4000 hadi 5000

So kama unaweza kununua gas ya 1000 ni nafuu sana
acha upotoshaji ww kuku, aliyekwambia matumiz ya gas hupimwa kwa wingi wa watoto n nani? Zpo familia n mke na mume tu lakn matumiz yako juu kuliko familia kubwa, maana kuna wengne wanachoma mandaz au chapati kwaajili ya vitafunio na ni kila sku, hapo hajapka uji wa lishe huyo n mke na mume tu. Naona mmetupia thread humu na makamba kawamwaga humu mtetee biashara ya m gas mtawapata mbulula tu. Halafu ukute ni mtu mmoja au wawili mna akaunti zaid ya 1 humu kaz yenu ni kudanganya watu humu tu mkiwa mmekaa hapo kwny kaofs kenu na uwenda hata kwny miji yenu mnatumia mkaa ila hapa full udaku.
 
Kwa maana ya kwamba ile (ya Mtwara) ni natural gas wakati ya kupikia (ya kwenye mitungi) ni liquefied petroleum gas. Si ndio meneja ?
Naona mpo kwny kaofs kenu hapo mnatupga sound humu na pengne ww na uyo meneja wako ni mtu mmoja tu mwny akaunt nyng za jf. Eti gas ya buku ni nyng sn inakaa muda mrefu pumbavu kbs.
 
Wewe ni muongo na hao wenzio humu n wapotoshaji ameweka thread humu kupotosha watu, unaulzwa inakaa muda gn umejbu inategemea matumiz mara ooh inakaa muda mrefu sn sjui unakuwa hupiki au, nyie n sawa na wale jamaa wa solar tu mnajdai mnasaidia bt mtu mwny akili akpga hesabu ya gas iliyokwny mtungi wenu anajkuta katoa pesa ndefu sn bora angenunua oryx tu, gas ya elf 1 haimalz kupka wali na mchicha kama mi muongo watakuja mashuhuda wengne hapa maana mi nimewai tumia gas yenu ni utopolo tu kudanganya watu gas ya buku inaweza msaidia mtu kupka chakula japo hata kwa sku nzma hata kama hapkii maharage, wkt mkaa wa buku mtu anapkia mpk maharage na kila ktu na unabaki.
Ahsante sana kwa ujumbe wako mzuri boss. Ila boss hukuambiwa unalazamishwa kununua gesi ya 1000. Jinsi ilivyo ni hivi, unapewa mtungi uliojaa gesi full. Wewe ndio unaamua ununue gesi ya shilingi ngapi kutoka kwenye mtungi wako kutokana na kipato chako. Ila kununua unaanzia shilingi 1000 na kuendelea. Kama unapesa zaidi teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima wa hiyo gesi.
Karibu sana M-Gas boss utapatiwa huduma bora.
Kwa mawasiliano piga 0747744895 ili kuelewa zaidi kuhusu M-Gas na kifurushi cha gesi ya 1000
 
Naona mpo kwny kaofs kenu hapo mnatupga sound humu na pengne ww na uyo meneja wako ni mtu mmoja tu mwny akaunt nyng za jf. Eti gas ya buku ni nyng sn inakaa muda mrefu pumbavu kbs.
Ahsante sana kwa ujumbe wako mzuri boss. Ila boss hukuambiwa unalazamishwa kununua gesi ya 1000. Jinsi ilivyo ni hivi, unapewa mtungi uliojaa gesi full. Wewe ndio unaamua ununue gesi ya shilingi ngapi kutoka kwenye mtungi wako kutokana na kipato chako. Ila kununua unaanzia shilingi 1000 na kuendelea. Kama unapesa zaidi teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima wa hiyo gesi.

Karibu sana M-Gas boss utapatiwa huduma bora.

Kwa mawasiliano piga 0747744895 ili kuelewa zaidi kuhusu M-Gas na kifurushi cha gesi ya 1000
 
acha upotoshaji ww kuku, aliyekwambia matumiz ya gas hupimwa kwa wingi wa watoto n nani? Zpo familia n mke na mume tu lakn matumiz yako juu kuliko familia kubwa, maana kuna wengne wanachoma mandaz au chapati kwaajili ya vitafunio na ni kila sku, hapo hajapka uji wa lishe huyo n mke na mume tu. Naona mmetupia thread humu na makamba kawamwaga humu mtetee biashara ya m gas mtawapata mbulula tu. Halafu ukute ni mtu mmoja au wawili mna akaunti zaid ya 1 humu kaz yenu ni kudanganya watu humu tu mkiwa mmekaa hapo kwny kaofs kenu na uwenda hata kwny miji yenu mnatumia mkaa ila hapa full udaku.
Ahsante sana kwa ujumbe wako mzuri boss. Ila boss hukuambiwa unalazamishwa kununua gesi ya 1000. Jinsi ilivyo ni hivi, unapewa mtungi uliojaa gesi full. Wewe ndio unaamua ununue gesi ya shilingi ngapi kutoka kwenye mtungi wako kutokana na kipato chako. Ila kununua unaanzia shilingi 1000 na kuendelea. Kama unapesa zaidi teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima wa hiyo gesi.
Karibu sana M-Gas boss utapatiwa huduma bora.
Kwa mawasiliano piga 0747744895 ili kuelewa zaidi kuhusu M-Gas na kifurushi cha gesi ya 1000
 
Ahsante sana kwa ujumbe wako mzuri boss. Ila boss hukuambiwa unalazamishwa kununua gesi ya 1000. Jinsi ilivyo ni hivi, unapewa mtungi uliojaa gesi full. Wewe ndio unaamua ununue gesi ya shilingi ngapi kutoka kwenye mtungi wako kutokana na kipato chako. Ila kununua unaanzia shilingi 1000 na kuendelea. Kama unapesa zaidi teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima wa hiyo gesi.
Karibu sana M-Gas boss utapatiwa huduma bora.
Kwa mawasiliano piga 0747744895 ili kuelewa zaidi kuhusu M-Gas na kifurushi cha gesi ya 1000
Wewe ni zaidi ya mpumbavu, acha kuona watu wote wajinga. Mwanzo uliposema gesi ya 1000 inatosha ulimaanisha nn? Sasa hivi unasema mtu anaweza kununua zaidi.

Mnafanya watu kama mandondocha sio?
 
Ahsante kwa ujumbe mzuri boss. Gesi ya 1000 inatosha kabisa kupikia kwa matumizi ya kawaida. Kama una matumizi makubwa teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima kufuatana na pesa yako.
 
Back
Top Bottom