Akuna aliefanywa mpumbavu ila watu mnataka ubishi usio na msingi mnataka gesi ya tshs25000/= ifanane na ya tshs1000/= si utaahira huu?Wewe ni zaidi ya mpumbavu, acha kuona watu wote wajinga. Mwanzo uliposema gesi ya 1000 inatosha ulimaanisha nn? Sasa hivi unasema mtu anaweza kununua zaidi.
Mnafanya watu kama mandondocha sio?
Ikulu atapasikia tu. Kuwa na nywele tu hawezi ndio ataweza kuwa rais?
Bei zenu na makampuni mengine ni sawa au Kuna utofauti?Ahsante kwa ujumbe mzuri boss. Gesi ya 1000 inatosha kabisa kupikia kwa matumizi ya kawaida. Kama una matumizi makubwa teknolojia inakuruhusu kununua hata mtungi mzima kufuatana na pesa yako.
Kwa yule anae nunua gasi ya elfu Moja Moja Hadi akifikisha elfu 30 kilograms atakazokuwa ametumia zitakuwa sawa na yule ambae amenunua elfu 30 kwa mara Moja?Gesi ya 1000 ni nyingi sana na inakaa muda mrefu
Kwa yule anae nunua gasi ya elfu Moja Moja Hadi akifikisha elfu 30 kilograms atakazokuwa ametumia zitakuwa sawa na yule ambae amenunua elfu 30 kwa mara Moja?
Na zenu kwa Kg ni sawa na makampuni mengine?
Ila pia wajiandae. Baada ya kuwaunganisha wananchi hiyo gas pia wawape elimu namna ya kuitumia kwa usala wao. Watanzania hawajazoea hiyo nishati... Kama hawata jua kuitumia vizuri inaweza kuleta madhara makubwa pia. Inaweza kuleta vilio mitaani.......!!!Bila kutuambia hilo litawezekana lini linabaki kuwa siasa. Mitaa ya Sinza kuna mabomba ya gesi mitaani lkn TPDC hadi sasa wamefeli kuwaunganisha wateja wa majumbani wanaosuburi huduma hiyo kwa miezi sasa.
Vv
[emoji28][emoji28][emoji28]Kongole KWAKE
Naisubiria KWA hamu sana!
Yaani tutafungua gesi kama MAJI ya kulipia bili!
Mungu ibariki Tanzania