Sio kweliSasa likiisha unafikiri biashara ya mafuta si itakufa maana umeme ukiwepo maana yake mafuta ya kuendesha magenerator hayatotumika
Kwa hiyo,unataka alete mada zipi?Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.
Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Wewe na kikundi chako ndo mliamini mnadanganywa,ata kwenye jambo linaloonekana kwa macho bado mlivaa miwani ya mbao mhakutaka kuona na kuamini,tuliambiwa bwawa haliwezekani lakini magu aliweza sgr the same achana na ndege.Mlizoea kudanganywa na marehemu sasa mnaambiwa ukweli mnapanic wabongo bwana.
Sasa hamjuiTunamjua ni mpiga madili tu huyo hata alomueka anajua hilo
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Yaani kuna ka kikundi naona kanapoteza tenda za ku supply material tanesco sasa wame invest kwa vijana wenye njaa waje waanzishe mada dhidi ya Makamba hawatawezaMkuu, wanaolalamika ni sukuma gang, wewe inabidi uwe upande wa January makamba by all means!
Umeulizwa hizo bim za daraja la tznite waliwezaje kubeba na hiyo moja ni zaid ya ton 30Sasa kama lipo si uoneshe liko wapi tukachukuwe?
sasa makamba kafika kwenye wizaraHivi winchi ni kitu cha kusema haipo, tena waziri mzima, kabla hata ya mradi kuanza, inajulikana kila aina ya nyenzo zinazohitajika kwa kazi fulani, na hiyo ndio kazi ya mkandarasi, alafu huyo mkandarasi ana uwezo mkubwa tu. Alafu waziri anasema easily hakuna winchi, hii ni njia ya makusudi kuchelewesha mradi au kuuhujumu, imagine JPM angekuwa hai ndio Rais, hivi Makamba au waziri yeyote angethubutu kusema haya? Kwanza hii ni dharau kwa SSH.
Mama Samia Rais wangu, angalia sana huyu January, juzi kati tena tumesikia Tanesco wameingia mkataba wa USD 30 mil.. Takriban 69 bil tshs. Jamani, Mh. Rais mchunge huyu mtu, hatujakaa sawa mara gharama za kuchimba gesi tril 70.. Eeeeh eeeh, Mama yangu jamani, ebu mwangalie kwa umakini sana huyu January. Tril 70 ni gharama zote hizo kweli kwa ajili ya gesi kweli? Matrilioni hayoo jamaniiiii, OMG. Sasa kama ni tril 70, hiyo gesi hao wawekezaji si watatumia miaka 100 hadi warudishe gharama zao.. Mwanzoni tuliambiwa gharama ni tril 40 tu, ghafla imekuwa tril 70 za Tshs.
Presidential material kapewa umeme, kaungua, kawaka...au anahujumiwa?Alitumia kimemo toka kwa mlima mapapai wa chalinze😅 ambaye ndio anampigisha pindi jinsi ya kuongoza taifa!
Ndiyo hizi plan zake kutupa umeme wa mgawoSasa hamjui
Katika watu ambao ni roho za Rais Samia ni Makamba
Anamfahamu tangu akiwa Waziri chini yake mazingira iko chini ya makamu wa Rais
Makamba always ni mtu wa plans na implementation tatizo mwendazake alimuadd iwa makusudi kumchafua
Iko hivi, huyo unayemuambia sio kwamba hajui umuhuimu na cost za umeme wa maji laaaaa anajua sana tena vizuri sema tuu shida ipo kwa aliyeueanzisha huo mradi ,huyo ni wale bado wanaomuonea wivu marehemu [emoji23][emoji23][emoji23]wanaona kama magu akisifiwa kwa mazuri ni atafufuka tena .Kingine gharama za kuzalisha umeme kwa maji kwa unit 1 yaweza kuwa 36Tsh ila kwa gas ni 300tsh! Sasa akili ni ipi hapo?
Ukiweka ewura na kodi na takataka zingine
kwa gas unit 1 inaweza kuwa 500tshs. huku unit ya umeme wa maji ikiwa 100tsh.
Sasa hapo nani mwenye akili!? Aliyeanzisha umeme wa maji au wa gas?
Hapa washajua kwa mabadiliko ya tabia ya nchi yanavoendelea dawa ni kuchelewesha tu kulijaza maji bwawa ili hata iyo March mwakani iwe sio rahisi kulijaza kwani kiwango cha maji kinaweza kisiruhusu kutokana Na ukosefu wa mvua za kutosha hivyo hii ni ku buy time tu kulihujumu bwawa,
Kongole wapigaji,kongole Maropes
Hakuna chama kama CCMNilisema chini ya hawa ndugu zangu CCM hututafika hata kanani,, yaani wanajiangalia wenyewe na mitumbo yao,,
Katiba mpya inatakiwa sasa hivi jamani!!!
Kama ameingia na anatoa madini aendelee, tena kama kuna mwenzake ananondo ajiunge kesho na kuzimwaga.Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.
Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
Makamba mwenyewe yuko bize kutekeleza kazi yake izo kelele za makundi watu wanakosa tender wanaamisha wananchi Makamb ni MbayaMakamba anajitafutia shida tu huko mbeleni.
Anaweza akajikuta kama Membe.
Mbona umeme wa rea alisema umefika kila jijini mbona vijinini huko maeneo mengi hakuna umeme kwaio tusemejeBut Kalemani alitangaza by November 15 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa tena na saa alitaja. Hii ina maana waziri au mtu yeyote anaweza kusema uongo ndani ya bunge kadri anavyojisikia? Siyo nziri hii!
Tatizo watu wote wenye nia ya urais wanampiga vita kijana wa watu ambaye muda mwingi yuko bize na kazi zake sijui wanahofia niniHuyu jamaa ana mtandao mrefu Ila hataweza kuwa Rais, yaliyomkuta Lowasa yanaweza kutokea tena kwake.
Mbona huku ni kulalamika kusiko na sababuMakamba anafanya kazi ilimleta hapo yaani kuja kuchelewesha na kama siyo kuja kuua mradi wote mtaona tuu maji yalikuwa yajazwe mwezi huu JPM dead na Kalema out kazi iendelee KAZI IPI IENDELEE??? YA UHUJUMU NA UPIGAJI hamkuelewa Samia alisema tu Kazi iendelee yaaah mazozo wakalifurahia neno bila kujua maana yake poleni
Haya mambo ya kukosa umeme mbadala si yalianza kujadiliwa hata kabla ya white hair kumwaga manyanga? Umeme wa upepo vipi? au umekwama kwenye hansad za bunge.
Inawezekana uliza wakandarasi watakwambiaAna ujinga sana makamba kakalia majungu tu
Ndiyo hizi plan zake kutupa umeme wa mgawo
Ili wauze majenereta
Nashangaa kwetu umeme unakuja uck tu
Huyu jamaa dah
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app