Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Kuna mchezo unachezwa na January, awe makini, sbb Hili Bwawa la Nyerere naona kama vile analipinga kiaina.
Tulimwambia kuwa hatakiwi kuwasikiliza sukuma gang wanampoteza akaziba masikio sasa kawaingiza wapigaji kina Februari
 
Wana JF,
Najuwa JUKWAA la JF ni mahala pa Watanzania wote kujieleza maoni yao bila woga. Ila unapoona member mpya ameingia siku 2 zikizopita na ameshupalia mada za aina Moja tambua kuwa ana matatizo.

Naomba muendelee ku-monitor mada za Suzy Elias zimejikita kwenye umeme na January Makamba. Ni angalizo tu
 
We kituko achana na mimi tafadhari tena Komaaa mwana usiye na haya!

Jana ume zima hovyo!

Nimekwambia wenye vyeti fake hawarejeshwi ofisini endelea kupambana na hali yako simbilizi!
 
Mimi niko huku kwenye mradi najionea kinachoendelea huku Wao wenyewe JV wamejenga crane kubwa yenye uwezo mkubwa wa kubeba mzigo wowote inauwezo wa kunyanyua na kutembea kwenye reli yake angalia hayo Mawe hapo hapo 8 kula upande =16 kila moja lina uzito wa tani 10

 
Kalemani mwishoni kabla hajafukuzwa alirekebisha muda na ukawa hadi March next year
Hapa ndio watu hawajui na wanabaki kubwabwaja tu, nakumbuka Kalemani alirekebisha muda na hii ya November walisema ni majaribio ya kujaza maji but Kuna kingo hazijakamilika nadhani aliongeza muda.
 
Ukweli ni kwamba January kalidanganya Bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…