Waziri Makamba, nakushauri kuwa 'strategic thinker' suala la mafuta. Fufueni TIPER

Ufisadi hautakaa kutuacha salama. Ukiona hivyo wanataka kuanzisha ile project ambayo Mama Samia aliipiga chini, ya kujenga storage facility ya TPA. TIPER kuna tanks zimekaa bila mafuta sababu hakuna anayefanya storage, na serikali ina hisa zake. PUMA pia serikali ina hisa zake na haijawahi kujaa.
Hii project ya TPA ni ya nini sasa? Tujifunze kufahamu wakati ukuta. Haya tunayofanya tutakutana nayo mbele ya safari
 
Kila kiongozi ana sura mbili...unamlaumu huyo kwakua umesikia yake, kuna mengine ukisikia utashangaa, wengine pia walikua na yao..
 
Historia nimeisoma vizuri tuu, sema wewe kichwa chako kimejaa mawe unashindwa kuelewa unachokisoma. Reading comprehension yako iko chini.
Sasa kwa ujinga wako nipe reference ya kitabu ulichosoma ambacho kinasema Siasa ya Ujamaa ilikuja kabla ya Azimio la Arusha, 1967.
 
Sasa kwa ujinga wako nipe reference ya kitabu ulichosoma ambacho kinasema Siasa ya Ujamaa ilikuja kabla ya Azimio la Arusha, 1967.
Wapi nimesema siasa ya ujamaa ilikuja kabla ya Azimio la Arusha? Reading comprehension...
 
Ujamaa wa Nyerere ulianza kufeli tangu ulivyoanza rasmi na Azimio la Arusha mwaka 1967. Vita ya Kagera inatumika kama kisingizio tuu lakini Ujamaa uliharibu uchumi kabla ya hiyo vita.

Umeshindwa kuonyesha wapi nimesema siasa ya ujamaa ilikuja kabla ya Azimio la Arusha?
Soma sentensi yako in RED, inamaanisha Ujamaa ulikuwepo KABLA ya Azimio la Arusha
 
TIPER ya "Refinery" ilishakufa kitambo tu, "Refinery" imegeuka kua "Reserve", hata Italian now ni International.
 
TIPER ya "Refinery" ilishakufa kitambo tu, "Refinery" imegeuka kua "Reserve", hata Italian now ni International.
Nafahamu hilo.
Na kinaweza jengwa kipya kabisa kwa teknolojia ya leo, si ya 1965.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…