Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu pamoja na ubabe wake lakini hajawahi kuongelea issue za TIPER hata siku moja aliogopa matajiriwanao miliki makampuni makubwa yanayo import mafuta hawawezi kukubali hili jambo kutokea, watafanya kila wanalo weza kuikwamisha TIPER kufufuka!
Siwezi bishana na kijana ambe hajui kwamba hajui.Hujui chochote,kijana wajuzi.Nyerere hakuwa mbaguzi wa Rangi,kabila,dini.Na alisaidia sana ukombozi wa nchi za Afrika na zisizo za Afrika,kama wapalestina.
Nahisi Paskali yupo PR Team ya Makamba, but it doesnt wash!Heb nitajie jambo moja ambalo January alisha accomplish ambalo unaweza kusema hili lina mdifine, hili ni symbol yake, hili ni Legacy yake ukiacha bao lao la mkono...
The guy is a pure politician, maneno meeengi vitendo sifuri, I bet ndicho watanzania mnapenda kuskia( nice empty words)...nenda jimboni kwake, sometime mtu unawaza hua anapitaje huyu?
He is good at talking, and probably ana kismati km cha JK bt he is just full of promises bt result hazionekani...
Show me his works and i will show you tens of his empty words.
NB: unapo attach video za maneno yake, please attach na video za accomplishment zake, empty words simply doesnt cut with me.
Issue ya bi mkubwa kuponda huo mradi nadhani its better ukaachana na hisia ukaskiliza hotuba yake.
Issue ya kwann alimega hilo swali anajua yy ya watu wa Tazama(You can verify this info na watu wa tazama) maana aligawa eneo lao akawapa Tiper ili nao wajenge tanks zao baada ya kuona project proporsal ya wazambia ..
I have Just confirmed kua Zambia wameshaanza ujenzi wa addional tanks though baada ya raisi mpya kuingia ulisimama kwa muda coz ya rushwa.
Link: Red flag against Dalbit’s highly inflated Tazama tank farm project.
Tatizo hujuiAlikuwa na upeo mkubwa Mwinyi Yeye ndio baba wa uchumi.Hii Hali ya kuwa vitu madukani,magari kuingia nchini,biashara kushamiri,majengo makubwa na ya kisasa kujengwa,mafuta ya magari na mitambo kupatikana kwa wingi,mashule binafsi,hospital binafsi,nk ni yeye aliruhusu,ndio akaitwa Mzee wa Ruksa.
Pakali, huwa si hulka yangu kumwongelea mtu. Lakini kwa January, naomba kutofautiana na wewe kwamba wengi wanamfahamu kijuu juu tu....
Kuna wengi wanadhani wanamfahamu January, lakini sii kweli, wengi wanamfahamu January kijuu juu tu, kwa kuwasaidia kumfahamu vizuri January, karibu mitaa hii
P
acha uoga mitambo bado ipo pale kigamboni ni kuiboresha tu nakumbuka miaka iyo mafuta lita nilikua nanunua sh 500Aina za crude oil zinatofautiana. Refinery huwa zinajengwa kwa kulenga aina ya crude oil, huwezi kwa mfano ukajenga refinery ya kusafisha crude oil ya Urusi ukaitumia kusafisha crude oil ya Saudi Arabia.
Na kuigeza refinery kusafisha crude nyingine ni mabilioni ya dola. Siyo kitu kidogo.
Sii kweli, japo ni kweli kuna baadhi ya majizi na majangili ni wana CCM wenzetu, lakini CCM kama chama, ni chama Safi, kina wanachama Safi, watu wema, watu wazuri na wazalendo wa kweli wa Nchi hii, nikiwemo Mzalendo Mimi.CCM imejaa majangili tupu
Ni kweli mkuu.Sii kweli, japo ni kweli kuna baadhi ya majizi na majangili ni wana CCM wenzetu, lakini CCM kama chama, ni chama Safi, kina wanachama Safi, watu wema, watu wazuri na wazalendo wa kweli wa Nchi hii, nikiwemo Mzalendo Mimi.
P
Humu ndani, kuna madogo hawana adabu kabisa, hawatujui kuwa sisi ni baba zao!.Ni kweli mkuu.
Sisi wengine hawajui kuwa ni CCM kada na mwanachama muasisi 5th Feb 1977.
Huu umasikini umeletwa na akina nani kama siyo CCM? miaka 61 ya uhuru hakuna kinachofanyika zaidi ya usanii tupuSii kweli, japo ni kweli kuna baadhi ya majizi na majangili ni wana CCM wenzetu, lakini CCM kama chama, ni chama Safi, kina wanachama Safi, watu wema, watu wazuri na wazalendo wa kweli wa Nchi hii, nikiwemo Mzalendo Mimi.
P
Tabia yako ndiyo itakufanya uheshimike?Humu ndani, kuna madogo hawana adabu kabisa, hawatujui kuwa sisi ni baba zao!.
P
Ujamaa wa Nyerere ulianza kufeli tangu ulivyoanza rasmi na Azimio la Arusha mwaka 1967. Vita ya Kagera inatumika kama kisingizio tuu lakini Ujamaa uliharibu uchumi kabla ya hiyo vita.Ni kweli lakini kulikuwa na mismanagement ya hali ya juu hasa baada ya vita ya Kagera.
Kabla ya vita, miaka ya 60 mambo yalikuwa mazuri tu.
Kako LIVE UTV nwNimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965.
Serikali ya Awamu ya pili chini ya Rais Mwinyi ilifanya KOSA KUBWA kuua kiwanda cha TIPER.
Katika kiwanda hiki nchi ililuwa ikiagiza tu crude oil, a one off operation.
Katika crude oil baada ya ku refine na kudistill hiyo crude oil, utapata mafuta aina zote hadi lami na mafuta ya vaseline.
Kilichotokea wakati wa Mwinyi kwa hakika ni cha kulaumiwa maana haieleweki kwanini tuagize finished product badala ya kuagiza malighafi ambayo itatoa mafuta aina zote na bidhaa nyingi za ziada.
Lami iliyokuwa inapatikana kama by product sasa hivi wanafaidishwa wafanyabiashara wakubwa kwa gharama za usafiri.
J Makamba, be strategic.
We pimbi soma historia yako vizuri.Ujamaa wa Nyerere ulianza kufeli tangu ulivyoanza rasmi na Azimio la Arusha mwaka 1967. Vita ya Kagera inatumika kama kisingizio tuu lakini Ujamaa uliharibu uchumi kabla ya hiyo vita.
Historia nimeisoma vizuri tuu, sema wewe kichwa chako kimejaa mawe unashindwa kuelewa unachokisoma. Reading comprehension yako iko chini.We pimbi soma historia yako vizuri.
Ujamaa ulikuja na Azimio la Arusha.
Na hata Vita ya Kagera hujui ilianza vipii.
SOMA!