Mimi simnyooshei kidole J Makamba, namkumbusha tu kutazama the bigger strategic picture.
Siyo petty retail fuel/oil trade.
Inaelekea hamjui kuwa Waziri ni mdau mkubwa sana kuwezesha sera endelevu na zinazoweza kuipaisha nchi.
Hapa ni uthubutu wa ushawishi, na inawezekana.
Turudie kujenga kiwanda kikubwa cha refinery, kitu ambacho hata Baba wa Taifa alikiona karibia 60yrs ago, kwa nini viongozi wa leo hawalioni hilo?
I agree with you
I too agree with you juu ya umuhimu wa kukifufua kiwanda hicho.
Na si kiwanda cha Petroleum Refinery [TIPPER] tu bali vipo viwanda vingi tu vya kimkakati vimelala mfano General Tyre [GT], viwanda vya kusindika mazao katika maeneo mbalimbali km mkonge, Cotton Ginnery nk
Narudia tena, shida si Makamba. Tatizo ni la KISERA na mfumo mzima wa UTAWALA
Mathalani, awamu ya tano chini ya hayati John P. Magufuli ilipoingia ilikuja na sera ya "Tanzania ya Magufuli ya viwanda". Ni sera ambayo mtu mwenye cheo cha "Urais" alikuja nayo mfukoni mwake. Haikuwa strategically planned. Pesa nyingi za umma zikatapanywa huko. Leo iko wapi? Kwa miaka 6 yote ya sera hiyo wanaweza wanaweza kuonyesha achievement yoyote?
Kwa sababu kungekuwa mfumo imara na mzuri wa utawala, basi sera ile ingekuwa endelevu. Si hivyo tu bali from the beginning ingekuwa well planned, ingekuwa inclusive na ingeonyesha tunaanza wapi na tutaelekea wapi
Ingekuwa vile, ni wazi pesa zile zilizotapanywa ovyo kwa miaka 6 ya Magufuli kwa jina la kujenga "Tanzania ya Viwanda", zingeelekezwa kufufua au kuanzisha viwanda 10 tu vya kimkakati ikiwemo TIPPER na vingine, obviously leo tusingekuwa tunanyoshea vidole mtu kama Makamba kuwa ameshindwa, hawezi, amekosa influence na ushawishi serikalini kama waziri
Ndugu
Jidu La Mabambasi kwa mfumo wa utawala wa nchi yetu na kwa ku - refer scenario hiyo niliyoieleza hapo juu, hata uwe na mawazo na ushawishi mzuri wa viwango vyote, huwezi kuleta impact yoyote kwa sababu RAIS HALAZIMIKI KUKUBALI au KUFUATA USHAURI WA MTU YEYOTE ikiwemo KATIBA!
Nakuhakikishia jambo moja, kubwa, hata wewe pamoja na mawazo yako mazuri haya, ukipewa leo nafasi ya waziri wa nishati ndg Makamba au ya waziri wa viwanda hautaweza kufanya lolote na pengine ukawa wa hovyo zaidi kuliko hata Makamba!!, WHY?
Kwa sababu mfumo hau - accommodate mawazo mbadala nje ya yale ya RAIS MFALME.!!
cc
Super Don unasema hujui mawazo ya viongozi yanatoka wapi. Jibu ni rahisi tu. Yako confined ndani ya mfumo mbovu wa kiutawala wa nchi yetu kisiasa na kiuchumi!
Kiongozi hawezi kuu - shape mfumo ili uwe vile yeye atakavyo bali mfumo huwa - shape na kuwapa dierctives viongozi ili waendane na mfumo unavyowataka wawe
So, the better the political & economic systems of the country are, the better the leadership and outcomes of that systems are..
BUT
The vice versa is, the worst the political & economic systems of the country are, the worst the leadership and its outcomes are..