Winch iko bwawani.Mwambie asihangaike na hiyo gesi kwanza pesa ya kuchimba wanayo au ndio wanasubiri "mikopo nafuu"? atuambie ile winchi ya tani 26 aliyoagiza toka nje iko wapi?
Kwa kawaida, conceptual design and feasibility study (Pre- Front End Engineering Design alias Pre-FEED) inachukua miezi 18 hadi 24...
Eee Mungu ee. Mungu ee jibu gani yaani mimi CCM nimechoka. Chadema nipeni pole na vyama vyote vya upinzani nipeni pole nisije kufa kwa Pressure huyu Waziri Makamba Mama Samia uwe serious kwa mambo mazito huyo mtoeAkihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda baada ya miaka 6 kuanzia sasa ndiyo miundombinu wezeshi inaweza kukamilika na kuanza kazi.
Watanzania bado tuna safari ndefu kuanza kutumia na kufaidi uchumi wa gesi.
Gesi yenyewe tunayo kiduchu, hata Rwanda wana gesi nyingi kutuzidi. Ni JK alitulisha upepo kuwa gesi ndiyo kombozi wetu.
Yaani almost 50 Trillion Cubic Feet ambazo hazijaguswa ndo gesi kiduchu?Gesi yenyewe tunayo kiduchu, hata Rwanda wana gesi nyingi kutuzidi. Ni JK alitulisha upepo kuwa gesi ndiyo kombozi wetu.
Mambo ni mengi muda ni mchache!Na umeme anaanza lini kuuza nje?
Hiyo KIDUCHU yenyewe tushaiuza na hela hatujui imeenda wapiGesi yenyewe tunayo kiduchu, hata Rwanda wana gesi nyingi kutuzidi. Ni JK alitulisha upepo kuwa gesi ndiyo kombozi wetu.