YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ndio husisha taasisi za nje pesa huna, teknolojia huna pesa ipo nje na teknolojia ipo njeBwah! Bwah! Bwah!!
Kumbe unaanza kutoa lugha chafu wakati hata ulichokuwa unakiongea hukijui?
Anyway, tuyaache hayo...
Mwanzoni nilikuuliza hivi una habari biashara zote kubwa Tanzania hata Market Cap yake haiwezi kufika USD 15 Billion let alone USD 30 Billion ambazo ni ONLY for LNG Plant?
Chukua MIFUKO YOOOOTE YA KIJAMII, hawawezi kuwa na ubavu wa ku-mobilize hata USD 1 Billion!!
Sasa hiyo PPP unayoisema wewe ni ipi?!
Au ni PPP ya kuhusisha taasisi za nje?
If YES, then what's difference?!
What's the difference kwa sababu huwezi kuwa na uwezo wa kuchangia hata 25% of capital, bado itakuwa ni kitu kile kile!
Si uende PPP upate kodi wao wapate na wewe upate kodi foreign
Makamba alichojibu BBC ajitathimini kama anatosha