Waziri Makamba: Tanzania kuanza kuuza gesi nje "labda" baada ya miaka 6 kuanzia sasa

Makamba kasema ukweli lakini watu watamchukia!

Gesi ya Mtwara kuuza Europe au US lazima kuwe na logistics ya uhakika. Mfano LNG plant

Hata Europe kujitoa kwenye gasi ya Russia itachukua muda!
 
Knowledge yako ya finance (in general) na ya banking industry and retirement funds (in particular) ni yenye kutia mashaka makubwa sana (if not outright shaky)! Nadhani unaongea tu kadri akili yako inavyokutuma.
Yaani tayari ndo unadhani unanifahamu?!
Sasa haya yanahusiana vipi na nilichoandika?! Au ndo ile unataka kujionesha kwamba "Mtaalamu" wa Finance and Banking na matokeo yake unaishia kuleta viroja?!
In short, maelezo mareeeefu lakini ni IRRELEVANT na bado umebaki kujificha kwenye customers deposits hoja ambayo nimeshakuambia SIO YA MSINGI!!

Hoja ya ambae nilim-quote ni kuhusu Local PPP kuwekeza kwenye Upstream Segment of the gas industry!! Hapo ndipo nikamwambiaupstream segment inahitaji massive investment ambayo hatuna local institutions including the government zinazoweza ku-afford gharama zake!

Wewe ukadai financing sio lazima ifanywe na local banks (ingawaje hakuna popote ambapo nilisema lazima ifanywe na local banks!! Na kama umesahau ambacho uliandika, ni hiki hapa
Ndipo nikakuuliza,ni foreign banks za nchi zipi zinazoweza kukopesha Tanzanian local institutions ZAIDI YA USD 50 BILLION??

Sasa hayo maelezo yako yanajibu hilo swali?!

Kwenye post yangu ya mwisho nilikuuliza:-
Hivi umesoma nilichaondoka?!
Narudia tena hilo swali... hivi huwa unasoma?!

Au nawe ni wale wavivu wa kusoma ambao wakisoma sentensi mbili za juu tu, wanakurupuka na kukimbilia ku-comment!!

Man, kama ni mvivu wa kusoma basi HUTAWEZA kufanya mijadala na mimi coz' I have this conversational writing style!!!

Hiki ndicho niliandika..

Hivi hayo maelezo yako yanajibu hiyo hoja?!

SOMA, KISHA JIBU ULICHOULIZWA!!! Kama ni mvivu wa kusoma basi mijadala ya Jf HUTAIWEZA!!
 

Going around in circles and arguing for the sake of it are a waste of time!
 
Duuh......sina la kusema
 
Hata ya ndani ni changamoto
 
Kama ni gari basi usukuni umekata kona kwenye korongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…