Vipi gaidi au makengeza sio mwizi wa ruzuku za chama pumbavu sana!CCM wote ni wezi tu! Hata huyo Kalemani na Lukuvi siyo Malaika. Kamwe huwezi kuwa ndani ya ccm halafu ukawa msafi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi gaidi au makengeza sio mwizi wa ruzuku za chama pumbavu sana!CCM wote ni wezi tu! Hata huyo Kalemani na Lukuvi siyo Malaika. Kamwe huwezi kuwa ndani ya ccm halafu ukawa msafi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makamba anajifanya kuchanganya lugha akimaanisha kwamba anaongea vitu vya ukweli na vye mantiki kumbe ni upuuzi mtupu! Huyo kijana ameshindwa kazi analialia anatamani msukuma amgonge na gariWaziri anasema eti bei ya mafuta imepanda kwenye soko la Dunia kwakua kuna tension ya vita kule Russia na Russia ni mmoja ya nchi inayouza mafuta kwa wingi.
Toka lini sisi tunanunua mafuta toka Urusi??
Na je hiyo tension ya vita imeathiri vipi production ya oil duniani??
Angezungumzia vita Iraq, Saudi Arabia na nchi nyingine za kiarabu ambazo ni major producers wa oil ningemuelewa ila sio kutudanganya na Urusi.
Coments za watu wanaokaa kwa shemeji alikoolewa dada zao utazijua tu!Mama ad 2030 na makamba ad 2028 kaeni kwa kutulia na chuki zenu binafsi
Yan mnataka watu wote wafanye kaz kwa mazoea km msukule wenu
Hii nchi itakua ngumu sana km mkitaka kla Raisi awe Magufuri jiwe
Raisi ww ni Jaji, ni polisi ww ni mwanasheria, Mungu mtu , ww ni tume ya uchaguzi, muhasibu , injinia
Acheni watu wafanye kaz siasa ni 2030 baada ya Mama kutoka
Ungekuwa na akili hata robo ungeshanbulia hoja kama wenzio wanavyofanya!Sukuma Gang hamjafurahishwa kabisa na uteuzi wa Makamba! Na ndiyo maana sishangai kuona kiongozi wa hayo mashambulizi ni mzee wa majungu! Joseph Kasheku Msukuma!
Mlitamani Kalemani awe Waziri wa maisha sijui! Makamba Jr ana haki ya kujitetea.
Na safari hii wataangikana wenyewe. Kipindi hiki walozi na walogwa ni wao wenyewe [emoji23][emoji23]CCM wote wameiahiwa maarifa.
Vipi gaidi au makengeza sio mwizi wa ruzuku za chama pumbavu sana!
Ungekuwa na akili hata robo ungeshanbulia hoja kama wenzio wanavyofanya!
Chaa ajabu utakuta hapo ulipo ni masikini wa kutupwa ila hapa unajibinuabinua kumtetea Makamba na ujinga wake
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sahivi umepata akili sasa, safi sn mkuuWaziri anasema eti bei ya mafuta imepanda kwenye soko la Dunia kwakua kuna tension ya vita kule Russia na Russia ni mmoja ya nchi inayouza mafuta kwa wingi.
Toka lini sisi tunanunua mafuta toka Urusi??
Na je hiyo tension ya vita imeathiri vipi production ya oil duniani??
Angezungumzia vita Iraq, Saudi Arabia na nchi nyingine za kiarabu ambazo ni major producers wa oil ningemuelewa ila sio kutudanganya na Urusi.
Kweli aseeila degree / kiwango cha ujizi kinatofautiana ingawa wote ni ujizi tuu, atakacho kwiba rizi-1 si sawa hata kidogo alicho kwiba lukuvi, anacho kwiba makamba si sawa na alicho kwiba kaleman kwa ujumla wote, kuna kijizi kingine kinakuibia angalau kina kuachia hata udaga na maharage ya kuanzia maisha asubuhi, kuna lijizi linguine lina komba kila kitu kwa 'kokoro' yaani halikuachii hata chumvi...
Wewe na kundi lako la machadema mnahisi ccm ikiondoka na tatizo la umasikini wenu kitaisha?Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.
Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Nchi za European hazi Uzi mafuta na Russian wanauza gas kwa kupitia mabomba kwa baadhi ya nchi za EuropeanWaziri anasema eti bei ya mafuta imepanda kwenye soko la Dunia kwakua kuna tension ya vita kule Russia na Russia ni mmoja ya nchi inayouza mafuta kwa wingi.
Toka lini sisi tunanunua mafuta toka Urusi??
Na je hiyo tension ya vita imeathiri vipi production ya oil duniani??
Angezungumzia vita Iraq, Saudi Arabia na nchi nyingine za kiarabu ambazo ni major producers wa oil ningemuelewa ila sio kutudanganya na Urusi.
Yatakwisha kwasababu matatizo kayaleta mwenyewe na siku akiondoka ataondoka nayoWewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.
Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Wewe na kundi lako la machadema mnahisi ccm ikiondoka na tatizo la umasikini wenu kitaisha?
Hapa tunataka makamba ajitahidi ili upatikanaji wa uhakika wa umeme uwepo ndio maana yuko pale!
Sasa wewe hoja za chuki unatoa wapi?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa hoja hizi sasa unamaanishaa hakuna haja ya kubadilisha mawaziri,Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.
Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Tanesco ipo chini ya wizara ya nishati, waziri wa nishati ni makamba. Unataka watu maswali wakaulize wapi?Makamba ajitahidi kwani yeye ndiye mmiliki wa Tanesco! Na hayo matatizo ya Tanesco yalianza leo? Siyo Serikali hii ya CCM iliyo tudanganya kipindi kile kulimaliza kabisa hilo tatizo la umeme, baada tu ya kugundua gesi?
Gesi iko wapi? Si mliwauzia nyinyi Mabeberu kwa siri! Sasa iweje leo mtu aliyekaa ofisini kwa miezi 4 tu aonekane ndiyo chanzo cha matatizo yaliyo tokea zaidi ya miaka 20 iliyopita? Ndiyo maana nimesema huyo Makamba Jr, yuko sahihi kujitetea. Huenda ni vita tu ya kugombania ulaji kwenye hiyo Wizara.
Na uzuri ccm wote mnajuana! Ni wapigaji tu.
Kwa hoja hizi sasa unamaanishaa hakuna haja ya kubadilisha mawaziri,
Kama ni hivyo kwa nini muhongo aliondolewa, simbachawene kwa nini aliondolewa , kalemani kwa nini aliondolewa?