Waziri Makamba una majibu mepesi, Mawaziri wote hubanwa kwenye utendaji. Jibu maswali ya Kamati ya Nishati

Sijawahi kumwelewa Januari.... Uwezo wake ni mdogo....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makamba anajifanya kuchanganya lugha akimaanisha kwamba anaongea vitu vya ukweli na vye mantiki kumbe ni upuuzi mtupu! Huyo kijana ameshindwa kazi analialia anatamani msukuma amgonge na gari
 
Coments za watu wanaokaa kwa shemeji alikoolewa dada zao utazijua tu!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sukuma Gang hamjafurahishwa kabisa na uteuzi wa Makamba! Na ndiyo maana sishangai kuona kiongozi wa hayo mashambulizi ni mzee wa majungu! Joseph Kasheku Msukuma!

Mlitamani Kalemani awe Waziri wa maisha sijui! Makamba Jr ana haki ya kujitetea.
Ungekuwa na akili hata robo ungeshanbulia hoja kama wenzio wanavyofanya!

Chaa ajabu utakuta hapo ulipo ni masikini wa kutupwa ila hapa unajibinuabinua kumtetea Makamba na ujinga wake

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa na akili hata robo ungeshanbulia hoja kama wenzio wanavyofanya!

Chaa ajabu utakuta hapo ulipo ni masikini wa kutupwa ila hapa unajibinuabinua kumtetea Makamba na ujinga wake

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.

Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
 
Sahivi umepata akili sasa, safi sn mkuu
 
Kweli asee
 
Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.

Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Wewe na kundi lako la machadema mnahisi ccm ikiondoka na tatizo la umasikini wenu kitaisha?

Hapa tunataka makamba ajitahidi ili upatikanaji wa uhakika wa umeme uwepo ndio maana yuko pale!

Sasa wewe hoja za chuki unatoa wapi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Nchi za European hazi Uzi mafuta na Russian wanauza gas kwa kupitia mabomba kwa baadhi ya nchi za European
 
Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.

Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Yatakwisha kwasababu matatizo kayaleta mwenyewe na siku akiondoka ataondoka nayo
 
Makamba ajitahidi kwani yeye ndiye mmiliki wa Tanesco! Na hayo matatizo ya Tanesco yalianza leo? Siyo Serikali hii ya CCM iliyo tudanganya kipindi kile kulimaliza kabisa hilo tatizo la umeme, baada tu ya kugundua gesi?

Gesi iko wapi? Si mliwauzia nyinyi Mabeberu kwa siri! Sasa iweje leo mtu aliyekaa ofisini kwa miezi 4 tu aonekane ndiyo chanzo cha matatizo yaliyo tokea zaidi ya miaka 20 iliyopita? Ndiyo maana nimesema huyo Makamba Jr, yuko sahihi kujitetea. Huenda ni vita tu ya kugombania ulaji kwenye hiyo Wizara.

Na uzuri ccm wote mnajuana! Ni wapigaji tu.
 
Wewe Msukule tulia. Mnapenda sana majungu. Badala ya kupambana kuwaletea Watanzania maendeleo, nyinyi mko busy kwenye majungu tu.

Kwa akili zenu fupi mnataka kusema akiondoka huyo January Makamba kwenye hiyo Wizara na hayo matatizo yatakwisha?
Kwa hoja hizi sasa unamaanishaa hakuna haja ya kubadilisha mawaziri,
Kama ni hivyo kwa nini muhongo aliondolewa, simbachawene kwa nini aliondolewa , kalemani kwa nini aliondolewa?
 
Tanesco ipo chini ya wizara ya nishati, waziri wa nishati ni makamba. Unataka watu maswali wakaulize wapi?
 
Kwa hoja hizi sasa unamaanishaa hakuna haja ya kubadilisha mawaziri,
Kama ni hivyo kwa nini muhongo aliondolewa, simbachawene kwa nini aliondolewa , kalemani kwa nini aliondolewa?

Mbona hata Juma Aweso wakati anapewa Wizara ya Maji, mbona kila mtu aliamini tatizo ka maji nchini litabakia kuwa historia!

Lakini leo hii, na yeye ni mmoja kati ya Mawaziri wanopigwa vita! Na baadhi ya nyuzi za kumlaumu, zipo humu jukwaani. Kwangu mimi tamaa yangu ni kuona CCM inatoka madarakani, ili ikajipange upya. Ila kwa sasa haina jipya kwa maendeleo ya Nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…