Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

Forwhat purpose?.. ndo maana pesa inazidi kua ngumu
 
HASARA KUBWA. Hii hasara Tanganyika inayoingia ili kuirekebisha itatuhitaji siyo chini ya miaka 50 ijayo
 
Bashite kula bata mpk kuku waone wivu. Na pia hakuna w kukugusa kijana pendwa.
Kazi ni kipimo cha utu
Amtafute yule Rais wa Liberia (Sierra Leone?)aliyeingia madarakani akiwa na miaka 25,akakae naye ampe uzoefu wa kutanguliza ujinga mbele.
 
Mnaopinga uvaaji wa yamine huwa sijawalewa kabisa.. mlitaka avae scarf zenye nembo au bendera ya hispania na suti ama kisa anaenda kukutana na daudi .. af kwa mazingira ya hiyo picha ni kwamba aliyeomba kukutana na yamal ni bashite na sio yamal... Tujifunze ku balance shobo jamani🤣🤣.
Watoto wa buku 2+ almaarufu Jeni zii waachwe na maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…