Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

Endelea kusikia hivyo hivyo
Sawa google watu mashuhuri dunian lamine yupo rafiki yangu samahani najua unapenda mpira lakini muepushe mwanao asiwe anawangalia sana Hawa wachezaji Kuna vitu anavivuna kutoka kwao tofauti na sisi zamani tilikuwa tunaangalia AN OLD LA JENI ukicheki msuri unamwbia baba nipeleke nikawe MWANAJESHI
 
Ny
Nyinyi ndio wazee wa Negreira case.

Jana mmeongeza list ya refa rafiki wa Lamine Yamal.

View attachment 3675108
Sisi ndio tuliofungua kesi baada ya kuona matukio mengi ya marefa pale Laliga yamekuwa yakiwanufaisha sana Barcelona huku Madrid ikinyongwa.

Na hatua hiyo ilikuja baada ya Barcelona kutoa mabilioni ya fedha kwenda kwa Negreira ambaye ndiye anaye miliki kampuni ya marefarii wa Laliga.

Nilishawahi kueleza sana hili swala kiundani humu jukwaani ila wachache walielewa. Now wengine wameanza kunielewa kwenye mechi ya jana.

Kilichotokea kwa Refa wa jana ni marudio tu, kiliwahi kutokea kwa refa Pau Norbert ambaye huyo alikuwa na urafiki na wachezaji wa Barcelona kiasi kwamba hadi dressing room ya Barcelona alikuwa anaingia.

Kwa refa wa jana kutotoa kadi nyekundu kwenye hii faulo aliyofanyiwa Valverde

Ni wazi unafanya watu waanze ku trace back kauli yako ya kusifia mustache wa Raphinha na kuona kama ni refa mwenye interest.

Na kwa aibu eti committee imekiri kuwa ile faulo ilikuwa ni kadi nyekundu. Haya ni mambo ambayo yamekuwa yakii nyong'onyesha timu kwasababu haya maamuzi hayaendi kutengua matokeo ya mechi.

Kwa muendelezo huu wa maamuzi ya marefa ndio maana Madrid kuchukua ubingwa wa Laliga imekuwa kazi kuliko kuchukua UCL.

Na Barcelona kwasababu Negreira hana mkono kule UCL ndio maana hawana achievement nzuri licha ya kwamba hapa ndani wameonekana kuwa wamoto.
 
Hawa wahuni wanachezea tu kodi zetu kwa kufanya mambo ya kipuuzi. Sasa kupiga picha na Lamine Yamal inatusaidia nini wananchi kama siyo ushamba tu.
 
Hivi makonda na michezo wapi na wapi?
 
Hata sisi tunanyongwa sana.

Kuna matukio mengi tu ya kutunyonga kuanzia UCL mpaka huko La Liga ila tunapotezea tu.

Matukio ni mengi nikianza kuyataja hapatoshi.

Unaikumbuka el clasico tuliyowafunga 4 -3?

Tchouameni kaushika mpira ndani ya 18 na refa wenu bwana Alejandro Hernández hata kusumbuka kwenda VAR hakutaka.

Unalikumbuka goli la Lewandowski na Real Sociedad lilokataliwa kisa kiatu cha Lewandowski kilikuwa offside kumbe ni makosa Lewandowski wala hakuwa offside ila ni kiatu cha beki wa Sociedad tena hiyo mechi tulipoteza 1 kwa 0.

Mwaka jana ATM anatutoa UCL Marc Pubil anarudishiwa mpira na kipa wake ambao upo mchezoni na kuushika ndani ya 18 refa hakutoa penati.

Baadae UEFA wanakuja kukubali makosa na kuomba msamaha wakati tayari tumeshaumia.

Kwahiyo makosa yapo tu hata nyinyi kwenye Uefa zenu mlizobeba zipo zenye makandokando ya kutosha tu.

Chezeni mpira acheni janja janja.
 
Kwenye Laliga kuhusu uonevu wa marefa mara nyingi victim wamekuwa Madrid kwasababu ndio big rival wa Barca

Achana na hizo minor incidents ulizotaja zinazoihusu Barca ambazo tunaweza hata kuzi picture kama trick kufanya mzani uonekane sawa.

Unavyodhani kwanini kila inapotajwa case ya Negreira baada ya maamuzi mabovu ya marefa huwa ina treveal kashfa mbaya kwa Bracelona?

Madrid imekuwa rahisi kushinda UCL kuliko Laliga unajua ni kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…