Mwanzo wa hili sakata ni pale ambapo Negreira alichukua control ya marefa.Nani anaongoza kuchukua La Liga kati ya mimi na wewe?
Ujajibu swali unarukaruka tu.Mwanzo wa hili sakata ni pale ambapo Negreira alichukua control ya marefa.
Hii ndio concern ya watu wengi wanaosema marefa wanainyonga RMA na kuipendelea Barca.
Sasa ukitaka kupiga hesabu za nani kachukua makombe mengi Laliga, anzia mwaka 2001 hadi 2008 ambapo miamala ya Barcelona ndio ilikuwa ikionekana kutumwa kwenye account za Negreira.
Sijibu unavyotaka, najibu inavyotakiwa.Ujajibu swali unarukaruka tu.
Halafu hayo mashataka ya Negreira ni ujinga tu mnaokomaa nao.
Hakuna ushahidi wa wazi unaoonesha bwana Negreira aliwaingizia pesa moja kwa moja kwenye akaunti zao waamuzi wa la liga ili waipendelee Barca moja kwa moja au kuathiri matokeo ya mchezo.
Mahakama ya rufani ilishatupilia mbali huu upuuzi.
Mashataka pekee ambayo Barcelona anaweza kukutwa nayo labda ni usimamizi mbovu wa fedha na udanganyifu na watakaowajibika ni Sandro Rossell na mwenzie ambaye ni jasusi lenu lililoiangamiza Barca Josep Bartomeu.
Msikilize rais wa La liga.Sijibu unavyotaka, najibu inavyotakiwa.
Unataka kuelewa sababu za kwanini jina la Negreira linatajwa mara kwa mara kwenye matukio ambayo yanainufaisha sana Barcelona na kuwanyonga wapinzani wake hususan RMA.
Kesi hii bado iko mahakamani, hatua iliyofikia sasa ni kweli mahakama haijathibitisha kuwa hizo hela zilienda kwa marefa kupitia Negreira.
Lakini swali la kujiuliza Negreira ambaye ndio anaye wa-manage waamuzi ana ushirika gani na Barcelona hadi kulipwa mabilioni yale ya pesa?
Hili ni swali ambalo hata raisi wa Laliga licha ya kuungana na Barcelona kwenye kupinga madai ya hizo pesa kuhusisha na rushwa ya marefa, bado kitendo cha Barcelona kutuma hizo pesa kwa Negreira alisema kimekiuka maadili ya mpira.
Na kumbuka watu hawasemi hivyo kwakua tu wameona kuna hela zimetumwa, wanasema baada ya kuona matukio ya kiuamuzi yanavyotolewa kwa double standards ndio hapo wanaunga dots.
Tebas lazima asimame upande wa Barcelona kwasababu ni tuhuma imetokea under his watch.Msikilize rais wa La liga.
Anakwambia nyie wazee wa kulialia wazee wa nadharia njama.
Msipokimbilia Negreira mtakimbilia kulaumu marefa.
Yote hiyo kuficha kushindwa kwenu.
View attachment 3676024
Hakuna pesa yoyote iliyoingizwa kwenye akaunti ya marefa wa laliga kutoka kwa Negreira au Barca wenyewe.Mkuu, kumbuka Negreira na ishu ya marefa sio kama ni mambo mawili unayoweza kuyatenganisha.
Hakuna refa aliyepewa pesa na Negreira.Pesa hizo ndio zinazotajwa kama ni rushwa ya wazi ya kuwafanya Barcelona wapate upendeleo dhidi ya wapinzani.
Hakuna pesa yoyote iliyoingizwa kwenye akaunti ya marefa wa laliga kutoka kwa Negreira au Barca wenyewe.
Hao marefa wa kipindi hiko walishaitwa kutoa ushahidi hakuna hata mmoja aliyesema kwamba tuliingiziwa pesa na Negreira au Barca ili tupendelee mechi zao.
Na uchunguzi ulipofanyika kwenye akaunti zao haikupatikana miamala ya kipesa kutoka kwa Negreira.
Hakuna refa aliyepewa pesa na Negreira.
Marefa walihojiwa kuhusu pesa na kuipendelea Barca walikataa kupewa pesa pia walikataa kupewa maelezo yoyote na Negreira ya kuipendelea Barcelona.
Kwanza Negreira hakuhusika na kuchagua refa wa kuchezesha mechi za la liga.
Kwa kifupi Negreira hakuwa na majukumu ya kupanga nani awe refa wa mechi yoyote ya La Liga.
Sasa huo upendeleo unatoka wapi?
Kwa kifupi jengeni timu hamna timu mle mmejaza average players wengi.
Ukimtoa Courtois Mbappe kidevu na Yuda Bolingo wachezaji wote waliobaki ni majanga tu.
Pia tafuteni kocha mwenye mbinu mpya za kisasa za soka achaneni na makocha wa ajabu ajabu.
La sivyo mtalia sana.
Mkuu kumbuka CTA ni kamati yenye nguvu ya kuchagua refa gani wa kuchezesha mechi, kuwapandisha vyeo na kuwashusha madaraja kulingana na performance zao.Hakuna pesa yoyote iliyoingizwa kwenye akaunti ya marefa wa laliga kutoka kwa Negreira au Barca wenyewe.
Hao marefa wa kipindi hiko walishaitwa kutoa ushahidi hakuna hata mmoja aliyesema kwamba tuliingiziwa pesa na Negreira au Barca ili tupendelee mechi zao.
Na uchunguzi ulipofanyika kwenye akaunti zao haikupatikana miamala ya kipesa kutoka kwa Negreira.
Hakuna refa aliyepewa pesa na Negreira.
Marefa walihojiwa kuhusu pesa na kuipendelea Barca walikataa kupewa pesa pia walikataa kupewa maelezo yoyote na Negreira ya kuipendelea Barcelona.
Kwanza Negreira hakuhusika na kuchagua refa wa kuchezesha mechi za la liga.
Kwa kifupi Negreira hakuwa na majukumu ya kupanga nani awe refa wa mechi yoyote ya La Liga.
Sasa huo upendeleo unatoka wapi?
Kwa kifupi jengeni timu hamna timu mle mmejaza average players wengi.
Ukimtoa Courtois Mbappe kidevu na Yuda Bolingo wachezaji wote waliobaki ni majanga tu.
Pia tafuteni kocha mwenye mbinu mpya za kisasa za soka achaneni na makocha wa ajabu ajabu.
La sivyo mtalia sana.
Hili tuliishalijibu.Halafu swali lingine, Barcelona walimtumia hiyo pesa Negreira kwasababu gani?
Malipo ya kiufundi?Hili tuliishalijibu.
Barcelona ilitoa pesa kwa Negreira kama malipo ya kiufundi na ushauri kuhusiana na mwenendo na tabia za marefa ili wachezaji wetu na makocha wetu wajue jinsi ya kukabiliana nao.
Na kufanya hivyo sio kosa ni jambo la kawaida kwenye vilabu vikubwa ulaya.
Pia mpaka nyaraka za ushauri huo zipo na ziliwasilishwa mahakamani kama ushahidi ndio maana baadhi ya mashtaka yalitupiliwa mbali.
πππ Chizi Maarifa nasikia wewe ni mtaalamu ya kuchapa mademu wenye makebo hadi wanatema haidroksoView attachment 3676192
Yaani sasa hivi jina lakp likija akilini mwako unawaza maji tu ππ
mi ndo mkali za hizo kazi..... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ Chizi Maarifa nasikia wewe ni mtaalamu ya kuchapa mademu wenye makebo hadi wanatema haidrokso