MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Hapa hapa unguja stand ya kuelekea chwakaNaamini siyo Mbuzini ya Eswatini/Swaziland!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hapa unguja stand ya kuelekea chwakaNaamini siyo Mbuzini ya Eswatini/Swaziland!
Wewe unamsikiliza Masauni kweli? Hawa wazanzibar ni wanafiki sana! Juu ujinga hatutakubali Watanganyika! Ndo maana alipoingia tu Samia akamteua Mzanzibari Mbarawa kuwa waziri lengo ni kuuza bandari!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo.
View attachment 2682444
Safi, Tanzania ni nchi ya amani
Tunapaswa kuilinda
Kuwadi huyo.Amani au tunapretend amani?
Amen!Hili ni ombilangu kwako eehh Mungu, TUTENDEE JAMBO JIPYA..🙏
Sisi wananchi hatuvumilii serikali isiyo na uzalendo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo.
View attachment 2682444
Ni mzanzibar tena
Asitishe watu hii nchi sio ya ukoo wake, cheo ni dhamana tu anaweza futika hata kesho akaja mwingineWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo.
View attachment 2682444
Kwani wewe hujui ni kwa nini inakua hivo?..Wazanzibari kama Othman Masoud, Juma Duni, Ismail Jussa,.wakiukosoa muungano hatusikii wakitishiwa na Bwana Masauni.
..Watanganyika wakikosoa muungano ndipo Bwana Masauni anajitokeza kuelekeza vyombo vya dola dhidi yao.
Hawezi kuwambia kitu wazanzibari hao uliowataja kwa sababu hayo wanayoyasema yote kuhusu Muungano niyakweliHaswaa ! Kila siku Othman Masoud (OMO), Juma Duni Haji, Ismaili Jussa wapo majukwaani wakihoji, kejeli na kutukana Muungano. Wamefikia mahali hawana hata heshima wakiita Tanganyika mkoloni mweusi.
Jussa majuzi kasema tugawane mbao, OMO akitoa tuhuma za uongo na Duni akitaka muungano uvunjwe
Hatukumsikia Waziri Masauni akikemea au kudai kuna tishio la usalama au kugawa Taifa kwasababu tu Wazanzibar wana haki ya kuzungumzia Muungano kadri wanavyotaka. Wazanzibar wana haki ya kudai uwepo wa KERO na zikatatuliwa tena wakiwa wenyewe. Sasa imefikia mahali wanadai hawalipi Umeme na wanakubaliwa tu kwasababu ni Wazanzibar
Akizungumza Mtanganyika tunamsikia Masauni na kauli za kutisha.
Waziri Masauni nenda kawaambie Wazanzibar hayo maneno kwanza.
Kwan watoa maoni hasa LISSU hajui katiba inasemaje? Au ndo ile kauli ya... Kosoeni kwa staha 🤣🤣🤣. Politics is jus a bad playground tuishi humo kikubwa mtu asivunje sheria tu!!!View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Nyie wazanzibar mmeuza bandari zetu then tunawaambia ukweli badala ya kurekebisha mnatutisha haikubalikiKwan watoa maoni hasa LISSU hajui katiba inasemaje? Au ndo ile kauli ya... Kosoeni kwa staha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Politics is jus a bad playground tuishi humo kikubwa mtu asivunje sheria tu!!!