Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

Huyu boya ni mzenji pia,Zanzibar imefanya mapinduzi na inatawala Tanganyika kimabavu.
Arudi kwao asitutishe mpuuzi huyo
 
Kwa bahati nzuri, hicho chama hakina hati miliki ya kuongoza nchi.
Wananchi ndio wanaoshikilia hati miliki hiyo.
 
Sawa kabisa. Onyo hili lifuatane na vitendo. Akina Nshalla waliomtukana mhe. Rsis watiwe adabu.
 
Hawezi kuwambia kitu wazanzibari hao uliowataja kwa sababu hayo wanayoyasema yote kuhusu Muungano niyakweli
Ndiyo maana tunamwambia Masauni aache Watanganyika wateme nyongo zao.
Tena Watanganyika ndio walipaji Muungano, hao akina Jussa, OMO na Duni si wanalipiwa hadi umeme !
 
Ndiyo maana tunamwambia Masauni aache Watanganyika wateme nyongo zao.
Tena Watanganyika ndio walipaji Muungano, hao akina Jussa, OMO na Duni si wanalipiwa hadi umeme !
Ndio sawa sawa muendelee kuugharamia huo muungano kwa sababu tanganyika ndie anaulazimisha huo muungano
 
Masauni ni Mzanzibari, hana uchungu na rasilimali zetu Tanganyika
 
Safi sana Masauni, turudishe enzi za Magu kwa miezi mitatu tu.
 
Masauni ndio muuze Bandari kwa ilani ya chama?

404: Page Not Found
 
Safi sana Masauni, turudishe enzi za Magu kwa miezi mitatu tu.
Yaan enzi za Magu ndio ingekuaje wakati Magu alizuia Mambo ya Bandari kuchezewa akaanza na Bandari ya bagamoyo akamwaga upupu wa kutosha madudu yote akayaonyesha a-z so what atafanya nini cha enzi za Magu Masauni kuonyesha madudu ya mkataba wa Bandari anaweza ana huo msuli wa Magu?
 
Nchi ya amani kwa kuizidi/kulinganisha na ipi?Au Unamaanisha nchi ya makondoo aka mapoyoyo aka majoga?
Ni nchi ya amani kuliko Kenya kuliko Nji zingine kuliko Somalia kuliko Nigeria kuliko South Africa kuliko USA. Yaani unakaa kwa amani unalala kwa amani unaenda kokote kule kwa amani. Huko kwingine hukuti hayo.

Umeelewa?
 
Waziri mzigo huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…