Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe

Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka

Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu

Kutekwa na kupotea Kwa akina soka

Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.

Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu

Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo

Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria

Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana

IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda
 
Kamwe hilo halitatokea hapa duniani katika kipindi cha kijani labda ikatokee mbinguni na endapo tukabahatika kufika.
 
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe

Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka

Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu

Kutekwa na kupotea Kwa akina soka

Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.

Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu

Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo

Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria

Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana

IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda
Kuwaambia viongozi wa Bongo wajiuzuru kama sehemu ya uwajibikaji ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea aserebuke. Bado tuna safari- sijui ni fupi/ndefu kiasi gani?
 
Back
Top Bottom