ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe
Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka
Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu
Kutekwa na kupotea Kwa akina soka
Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.
Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu
Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo
Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria
Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.
Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana
IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda