Waziri Mbarawa: Mlango wa ndege ulifunguliwa na mhudumu

Sijui kwa nini umeleta hiyo habari kipande pekee,kwenye maelezo ya habari yote kasema Wavuvi walivyokuja na wao pia walisaidia kufungua kwa nje.
 
Nlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…