Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,999
- 33,523
Safi mkuu, nimekuelewa vizuri kabisaKaka Kambaku natanguliza APOLOGY yangu kwako, nilikuquote kwa bahati mbaya na kila nilipokuwa nikijaribu kudelete ilikuwa inagoma. Actually yale maneno ya "FICHA UPUMBAVU WAKO" yalimlenga ndugu DT125 baada ya kusema "KWANINI MARUBANI WALISHINDWA KUFUNGUA MLANGO WAO?"
Sorry for my disappointment bro.