Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,980
Hakika,hizi ngonjera za aliye fungua mlango hatuzihitaji
Hizi ngonjera hazitaisha kama za nani bora kwa gozi la kenge kati ya Messi na Ronaldo!
Hakika,hizi ngonjera za aliye fungua mlango hatuzihitaji
Hii nchi ina vijana wa ovyo sanaAcha ujinga, wa rubani upi? Hukuoma kama sehemu ya mbele ya ndege yote ilikuwa ndani ya maji!?
Ile ndege haikuwa na mlango wa rubani,na hata ungekuwepo kwa mazingira yale ungeweza kufunguliwa vipi mkuu????Kwa nini wa rubani hawakuufungua. ?
Mimi natamani kujua marubani waliongea nini. Ina maana mpaka sasa black box hazijakuwa analysed ?Napenda kujua chanzo cha ajali.Kufahamu Pilot aliwasiliana nini na Control room iliopo Mwanza.
Shame!!!!110%
Kiswaswadu huyoKuna mtu mmoja ana cheo kikubwa amekuwa na tabia inayojirudia rudia ya uongo ...
Wavuvi wenzie Majaliwa wamemkataa kua yeye sio Shujaa sasa unakataa nini? What is first information?
Wale waliopewa million 10, huwajui?Taja najina ya hao wavuvi waliokataa kuwa Majaliwa Jr ndiyo shujaa wa kweli!
Watu pia wanachanganya kuhusu kufungua mlango na walio husika kuokoa abiria walio toka kwenye ndege, vinginevyo watuambie kama wahudumu pia walitoa maboya ili abiria wajiokoe..ninacho jua hata kama majaliwa hakufungua mlango lakini aliongoza timu ya kuwaokoa abiria baada ya mlango kufunguliwa na hao wahudumu.
Nenda kawasikilize wavuvi wenzie watakuelewesha vizuri, naona hauelewi kwanini suala la mlango kafungua nani limezua maswali mengi mpaka ikabidi Waziri Mbawara kulitafutia Majawabu yakutosha ili watu waelewe,
Wale waliopewa million 10, huwajui?
Wewe nenda Ziwani pale utawakuta wanavua dagaa,Lete majina hapa tuwachambue kama karanga!
Ficha ujinga na upumbavu wako. Sio kila kitu unaweza kukoment as long as wewe ni member wa JF!Kwahiyo unakubali kuwa mlango ulifunguliwa na Majaliwa?
Ficha ujinga na upumbavu wako. Sio kwasababu ni member wa JF tu kila thread unaweza kuchangia. Seems like hata ndege hujawahi kuiona physicallyKwa nini wa rubani hawakuufungua. ?
Ngoja nikuhurumie tu alafu nikae kimyaFicha ujinga na upumbavu wako. Sio kila kitu unaweza kukoment as long as wewe ni member wa JF!
Seems like hata ndege hujawahi kuiona kwa macho yako physically!
Good question [emoji848].Nlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
Nlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
hahahahaKuna mtu mmoja ana cheo kikubwa amekuwa na tabia inayojirudia rudia ya uongo ...