Waziri Mbarawa: Mlango wa ndege ulifunguliwa na mhudumu

Yani Tanzania kuendelea bado sana
Ukilala mlango ukiamka mlango,unajiuliza sisi unatusaidia nini?
Na je mlango ndo la msingi kuliko kilichoangusha ndege?
Kazi tunayo!
Wewe haujui
 
Hivi ina maana mnaamini Majaliwa alidanganya ? So what?Kwanza tusingemfahamu Majaliwa kama asingezimia. Watu hata hawajiulizi huyu kijana alizimia katika harakati za kuokoa.
Watu pia wanachanganya kuhusu kufungua mlango na walio husika kuokoa abiria walio toka kwenye ndege, vinginevyo watuambie kama wahudumu pia walitoa maboya ili abiria wajiokoe..ninacho jua hata kama majaliwa hakufungua mlango lakini aliongoza timu ya kuwaokoa abiria baada ya mlango kufunguliwa na hao wahudumu.
 
Yani Tanzania kuendelea bado sana
Ukilala mlango ukiamka mlango,unajiuliza sisi unatusaidia nini?
Na je mlango ndo la msingi kuliko kilichoangusha ndege?
Kazi tunayo!
Mpaka unajiuliza familia za marehemu wabataka kujua nani alifungua mlango?Familia wanataka kujua nini kilitokea mpaka ndugu zao wakafa.
 
Si ndo hapo na tuliobaki tunatamani tupate majibu yatakayotupa amani juu ya ndege za precision airways
Sio tu mlango this,mlango that wakati kuna maisha baada ya huo mlango mana ndege bado zipo!
 
Watu pia wanachanganya kuhusu kufungua mlango na walio husika kuokoa abiria walio toka kwenye ndege, vinginevyo watuambie kama wahudumu pia walitoa maboya ili abiria wajiokoe..ninacho jua hata kama majaliwa hakufungua mlango lakini aliongoza timu ya kuwaokoa abiria baada ya mlango kufunguliwa na hao wahudumu.
Tujue nini kilitokea kabla na wakati ajali inatokea. Nini kilisababisha. Kama hali ya hewa kwa nini Pilot mzoefu kabisa akaamua. Kuendelea kutua?Hadi nndege ikadondoka ?
 
ninacho jua hata kama majaliwa hakufungua mlango lakini aliongoza timu ya kuwaokoa abiria baada ya mlango kufunguliwa na hao wahudumu.
Nenda kawasikilize wavuvi wenzie watakuelewesha vizuri, naona hauelewi kwanini suala la mlango kafungua nani limezua maswali mengi mpaka ikabidi Waziri Mbawara kulitafutia Majawabu yakutosha ili watu waelewe,
 
Wavuvi wenzie Majaliwa wamemkataa kua yeye sio Shujaa sasa unakataa nini? What is first information?

Wivu tu…

He is the guy who told them to go….everything happens for a reason….

In every action there is equal and opposite reaction….sifa zimeenda kwa yule iliempasa….

He was the one doing the diving…Na alizimia kwenye kuokoa pilot….panda shuka ya kutafuta vishoka vya kubomoa kioo….Majaliwa alifanya kazi jamani
 
Tujue nini kilitokea kabla na wakati ajali inatokea. Nini kilisababisha. Kama hali ya hewa kwa nini Pilot mzoefu kabisa akaamua. Kuendelea kutua?Hadi nndege ikadondoka ?
Kwa hio wewe alichokifanya Waziri mwenye dhamana umeona hakuna alichokifanya? Umeambiwa kuhusu masuala ya black box uchunguzi bado haujakamilika ila kuhusu nani kafungua mpango uchunguzi umekamilika na majibu ushapewa, haya chukua hiyo au imekuuma kusikia aliefungua mlango sio Majaliwa?
 
Wivu tu…

He is the guy who told them to go….everything happens for a reason….

In every action there is equal and opposite reaction….sifa zimeenda kwa yule iliempasa….

He was the one doing the diving…Na alizimia kwenye kuokoa pilot….panda shuka ya kutafuta vishoka vya kubomoa kioo….Majaliwa alifanya kazi jamani
Kuna pande mbili...upande wa majaaliwa una baraka kuliko upande mwingine wa wahudumu.
 
Nlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
Swali zuri..
 
Wivu tu…

He is the guy who told them to go….everything happens for a reason….

In every action there is equal and opposite reaction….sifa zimeenda kwa yule iliempasa….

He was the one doing the diving…Na alizimia kwenye kuokoa pilot….panda shuka ya kutafuta vishoka vya kubomoa kioo….Majaliwa alifanya kazi jamani
Wamemkataa ndio hivyo, ishakua waliofungua mlango ni wahudumu wa ndege, hutaki nenda kamvae Waziri Mbawara atengue kauli yake
 
Vita ya kisiasa imeanza baadhi ya watendaji wa serikali na taasisi iliyotoa report ya ajali na mawaziiri dhidi ya Raisi Samia na Waziri Mkuu Majaliwa waliomtambua kijana Majaliwa kama shujaa iko kazini kuwa discredit waonekane wajinga mbele ya jamii

Team kick out Raisi Samia na waziri mkuu Majaliwa 2025 iko kazini Mwendo mdogo mdogo na waki determined
 
Ni wapuuzi wanaoamini mlango ulivunjea kwa kasia la mtumbwi... hata ukoingia youtube unakutana na mashahidi ambao ni survivor walikua abiria wanasema mhudumu ndio alifungua mlango huo...
Lolote linawezekana. Ndege ilishapiga chini na uliona ikinyanyuliwa ilivyoumia.
 
Ni wapuuzi wanaoamini mlango ulivunjea kwa kasia la mtumbwi... hata ukoingia youtube unakutana na mashahidi ambao ni survivor walikua abiria wanasema mhudumu ndio alifungua mlango huo...

Sawa

Majaliwa bado ni shujaa…

Matatizo yetu bado yapo palepale umeme na maji hatuna….
 
Kwa hio wewe alichokifanya Waziri mwenye dhamana umeona hakuna alichokifanya? Umeambiwa kuhusu masuala ya black box uchunguzi bado haujakamilika ila kuhusu nani kafungua mpango uchunguzi umekamilika na majibu ushapewa, haya chukua hiyo au imekuuma kusikia aliefungua mlango sio Majaliwa?
Black box kuisoma haichukui mwezi. Fuatilia ile ajali ya Germanwings air ways. Yule Pilot alieangusha ndege makusudi. Mawasiliano yalitolewa mara tu baada ya black box kupatikana. Walisikia njinsi Chien Pilot alivyokuwa anagonga mlango kumwambia CO pilot afungue mlango .Too sad.
 
Back
Top Bottom