Sio kweli.... Upo designed kufunguliwa kutoka ndani. Ungekua unafunguka kwa nje ungekua unafunguka sana angani
Sijasema unafunguliwa kwa nje…they needed a support from outside kufungua/kuvuta
Sio kweli.... Upo designed kufunguliwa kutoka ndani. Ungekua unafunguka kwa nje ungekua unafunguka sana angani
MVIWATA imewadukua akiliHakika,hizi ngonjera za aliye fungua mlango hatuzihitaji
Hii sio hoja hoja ni nani alisababusha uzembeSasa kutichq vipi wakati imeshasekana kuwa waliofingua mlango ni wahudumu wa precision air ambayo ni kampuni binafsi??
Ndio Kasia ifungue mkuu? Kweli steel ivunjwe na soft wood?? Not sure ila Kuna walakini hapoSijasema unafunguliwa kwa nje…they needed a support from outside kufungua/kuvuta
Huu ndio ukweli, baada ya uchunguzi imebainika hivyo, next time viongozi wetu kabla ya kutoa ushujaa kwa watu wanaotoa msaada wa uokoaji watulize vichwa kwanza wasifanye michongo ya kuzima kuzima mambo,Sio kweli.... Upo designed kufunguliwa kutoka ndani. Ungekua unafunguka kwa nje ungekua unafunguka sana angani
Ila la huyu bwana mdogo linahitaji mjadala kwa kweli, serikali nzima imedanganywa kitoto vile!Mkuu unadhani ishu ya Waziri mkuu, Rais na uongozi wa serekali nzima kudanganywa na mtoto wa miaka 20 na kuamini ikiwa ni pamoja na Usalama wa Taifa ni ndogo haiitaji mjadala?
Kilichosababisha ajali ni hali mbaya ya hewa na bahati mbaya ya rubani kufikiri angeweza kutua badala ya kwenda mwanza
Mimi natamani kujua marubani waliongea nini. Ina maana mpaka sasa black box hazijakuwa analysed ?Napenda kujua chanzo cha ajali.Kufahamu Pilot aliwasiliana nini na Control room iliopo Mwanza.Mlango umezusha taharuki baada ya kijana Majaliwa kupewa ushujaa usiokua wa kwake, mashujaa ni wahudumu wa ndege sio Majaliwa, hicho ndicho anachomaanisha Waziri Mbawara
Ikumbukwe amepenya mpaka bungeni. Nini muafaka wa ajira aliyozawadiwa?Ila la huyu bwana mdogo linahitaji mjadala kwa kweli, serikali nzima imedanganywa kitoto vile!
Mkuu, Riport pia ituambie baada ya abiria kufunguliwa mlango na hao wahudumu,,je hao wahudumu waliwapa pia abiria maboya kwa ajili ya kujiokolea? Au wavuvi wakiongozwa na majaliwa ndiyo waliwaokoa?Mkuu unadhani ishu ya Waziri mkuu, Rais na uongozi wa serekali nzima kudanganywa na mtoto wa miaka 20 na kuamini ikiwa ni pamoja na Usalama wa Taifa ni ndogo haiitaji mjadala?
Kilichosababisha ajali ni hali mbaya ya hewa na bahati mbaya ya rubani kufikiri angeweza kutua badala ya kwenda mwanza
Kumbe tunaoshangaa hili ni wengi nikajua peke anguNlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
Hivi ina maana mnaamini Majaliwa alidanganya ? So what?Kwanza tusingemfahamu Majaliwa kama asingezimia. Watu hata hawajiulizi huyu kijana alizimia katika harakati za kuokoa.Ila la huyu bwana mdogo linahitaji mjadala kwa kweli, serikali nzima imedanganywa kitoto vile!
Funzo kwetu tusiwe tunapokea kila linalowasilishwa bila ithibati ya kutosha!
Hilo halijaelezwa mkuu, umeelezwa mlango tu maana ndio uliokua unaleta maswali ni nani aliefungua mlango?Mimi natamani kujua marubani waliongea nini. Ina maana mpaka sasa black box hazijakuwa analysed ?Napenda kujua chanzo cha ajali.Kufahamu Pilot aliwasiliana nini na Control room iliopo Mwanza.
Kijana alihojiwa akiwa hospitali bada ya kupigwa na kamba yake ya manila, akiwa na wenge ndio akaanza ku narate stori yake ya kuunga unga eti kampungia Pilot mkono wa kwaheri, kwamba alitaka kufungua mlango wa Pilot akakatazwa! Alitaka kuufungua kutokea wapi? Baada ya ile clip kuanza kusambaa kama ilivyo desturi ya wabongo ikarushwa kwenye magrupu na ikamfikia Majaliwa mkubwa, nae bila kuchunguza kamuita jukwaani siku ya mazishi. Yaani hii nchi haitakaa iishiwe vitukoKumbe serikali inaweza kudanganywa kwa asilimia kubwa hivi? Hapakuwa na mashuhuda? Unataka kuniambia kijana ndo alijipeleka kwa mkuu wa mkoa na kusimulia kuwa nmefungua mlango?
Wavuvi wenzie Majaliwa wamemkataa kua yeye sio Shujaa sasa unakataa nini? What is first information?Hapana funzo ni always trust the first hand information…maana zinaripotiwa na watu sahihi waliokuwepo kwenye tukio…
Hizi za baadae zinakuwa manipulated and interpreted to fit kusudio fulani
Yani Tanzania kuendelea bado sanaWhy watu mmekalia mlango mlango so what ?
Ndio Kasia ifungue mkuu? Kweli steel ivunjwe na soft wood?? Not sure ila Kuna walakini hapo