Unataka umuone Rais anazurula Kariakoo? Yupo ikulu anachapa kazi.Kuna mtu mmoja ana cheo kikubwa amekuwa na tabia inayojirudia rudia ya uongo ...
Ni wapuuzi wanaoamini mlango ulivunjea kwa kasia la mtumbwi... hata ukoingia youtube unakutana na mashahidi ambao ni survivor walikua abiria wanasema mhudumu ndio alifungua mlango huo...Kwa kutumia kasia la mtumbwi!!! Ridiculous.
Unless wewe hukuwahi kupanda ndege ukaona jinsi mlango wake ulivyoundwa.
Mkuu unadhani ishu ya Waziri mkuu, Rais na uongozi wa serekali nzima kudanganywa na mtoto wa miaka 20 na kuamini ikiwa ni pamoja na Usalama wa Taifa ni ndogo haiitaji mjadala?Nlitegemea Riport ya uchunguzi kwa kiasi kikubwa ingezingatia mambo muhimu,ikiwemo kilicho sababisha ajali..hii hoja ya nani kafungua mlango inapewa kipaumbele na mijadala mikubwa mnoo.Kuna nini kipo nyuma yake?
Kwa kutumia kasia la mtumbwi!!! Ridiculous.
Unless wewe hukuwahi kupanda ndege ukaona jinsi mlango wake ulivyoundwa.
Kama wavuvi wengine, walienda saidia pia kuwavutq na kuwapandisha ktk mitumbwi wale walioponaNafasi ya majaliwa iko wapi wajameni??
Kwa hio wewe unataka kusemaje kwa mfano? Majaliwa kafungua mlango au wahudumu wamefungua mlango?Kwa nini wa rubani hawakuufungua. ?
Hauna uzito wowote wa kushindwa kusukumwa kutokea ndani... ndege zimetengenezwa kwa kuangalia hizi scenario za dharura... wa ndani anao uwezo wa kuufungua vizuri kabisa...Nimeshawahi kupanda ndege mkuu…huo mlango watatoa Loki kwa ndani lakini kupush lazima nguvu nyingine kwa nje isaidie
Mlango umezusha taharuki baada ya kijana Majaliwa kupewa ushujaa usiokua wa kwake, mashujaa ni wahudumu wa ndege sio Majaliwa, hicho ndicho anachomaanisha Waziri MbawaraWhy watu mmekalia mlango mlango so what ?
Ukiwa kwenye mtumbwi uvunje mlango wa ndege. Unadhani mlango wa choo huo?110%
Sarakasi zinaendelea tusijadili maji na umeme
Wese tena?Wote wanaongelea ajali, watueleze chanzo cha ajali kuwa ni wese kukata.
Kumbe serikali inaweza kudanganywa kwa asilimia kubwa hivi? Hapakuwa na mashuhuda? Unataka kuniambia kijana ndo alijipeleka kwa mkuu wa mkoa na kusimulia kuwa nmefungua mlango?Mkuu unadhani ishu ya Waziri mkuu, Rais na uongozi wa serekali nzima kudanganywa na mtoto wa miaka 20
Huyo na wajina wake ni waongo waongo.Kuna mtu mmoja ana cheo kikubwa amekuwa na tabia inayojirudia rudia ya uongo ...
Hakuna sehemu amesema walifungua kwa nje amesema wavuvi walikuja baada ya dakika 5 na abiria walikua wameshatoka nje ya ndege kazi waliofanya wavuvi ni kuwapeleka nchi kavuSijui kwa nini umeleta hiyo habari kipande pekee,kwenye maelezo ya habari yote kasema Wavuvi walivyokuja na wao pia walisaidia kufungua kwa nje.
Kavunja au kasupport kuvutaUkiwa kwenye mtumbwi uvunje mlango wa ndege. Unadhani mlango wa choo huo?