Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Acha ujinga, wa rubani upi? Hukuoma kama sehemu ya mbele ya ndege yote ilikuwa ndani ya maji!?Kwa nini wa rubani hawakuufungua. ?
Acha ujinga, wa rubani upi? Hukuoma kama sehemu ya mbele ya ndege yote ilikuwa ndani ya maji!?Kwa nini wa rubani hawakuufungua. ?
Na ushujaa huu alipewa na mitandao ya kijamii iliyofuka kabla ya serikali...Mlango umezusha taharuki baada ya kijana Majaliwa kupewa ushujaa usiokua wa kwake, mashujaa ni wahudumu wa ndege sio Majaliwa, hicho ndicho anachomaanisha Waziri Mbawara
Sarakasi za kukata umeme au sio? January Makamba na Stephen Byabato km mnapita kwenye huu uzi Mungu anawaona, mnatulaza giza mnatushindisha mchana kutwa bila umeme, umeme unazima km kibatariOooh yes…kwenye sarakasi sikuzote mambo yakiharibika wanaleta clowns to destruct the audience…
Huu ndio mchezo wa sirikali…
Hauna uzito wowote wa kushindwa kusukumwa kutokea ndani... ndege zimetengenezwa kwa kuangalia hizi scenario za dharura... wa ndani anao uwezo wa kuufungua vizuri kabisa...
Ni sawa, kwa upeo wako laizma ubishe kwanza nna mashaka hata hiyo ndege unaiona angani tu.Ndege ilivyoinama vile?!….nabisha
Tuiamini serikali ipi sasa?View attachment 2426472
Uongo uliozushwa awali una maana kwamba kwa sasa serikali inashindana na vijana wa mitandaoni kupost uongo
Ushujaa alipewa na WM Kasimu Majaliwa na bunge akapelekwa na WM Kasimu Majaliwa, kwa kushirikiana na ChalamilaNa ushujaa huu alipewa na mitandao ya kijamii iliyofuka kabla ya serikali...
Kijana majaliwa ana mchango wake oama wengine waliosaidia kuokoa ila sio shujaa mkuu, ni wale wadada wahudumu... maana kuna maelezo ya survivor mmoja, wahudumu waliwatuliza pia wasipaniki na ndio wakafanikiwa mpaka kutoka...
Sarakasi za kukata umeme au sio? January Makamba na Stephen Byabato km mnapita kwenye huu uzi Mungu anawaona, mnatulaza giza mnatushindisha mchana kutwa bila umeme, umeme unazima km kibatari
Waziri mwenye dhamana Mbawara ndio wa kuaminiwa hao wengine walikua wanaua Soo tu, kumtengeneza Majaliwa wa mchongo na sasa issue imebuna ukweli umejulikanaMbarawa na wachunguzi wamesema ni mhudumu na abiria....
ni mkurupuko wa serikali kupokea taarifa bila ushahidi... na bila kutumia common sense...Ushujaa alipewa na WM Kasimu Majaliwa na bunge akapelekwa na WM Kasimu Majaliwa, kwa kushirikiana na Chalamila
Sio kweli.... Upo designed kufunguliwa kutoka ndani. Ungekua unafunguka kwa nje ungekua unafunguka sana anganiNimeshawahi kupanda ndege mkuu…huo mlango watatoa Loki kwa ndani lakini kupush lazima nguvu nyingine kwa nje isaidie
Siku ukipanda ndege utajidharau mno, utaitafuta hii comment uifute. Nilichogundua wengi wetu hatujui lolote kuhusu usafiri wa anga na hatujawahi kupanda ndege so uzoefu wetu wa Abood na Saratoga tunauleta kwenye ndege, pole sana.110%
Kuna ajenda ya siri hapa Kumpaka matope Majaliwa wakati yeye alifanya Kazi yake ya kufika pale na kutoa watu na kuwapeleka nchi kavu.Why watu mmekalia mlango mlango so what ?
Hakika,hizi ngonjera za aliye fungua mlango hatuzihitajiTuiamini serikali ipi sasa?
Waziri Mkuu na Chalamila walimuunda Majaliwa the ahero
Mbarawa na wachunguzi wamesema ni mhudumu na abiria....
Lakini tujulishwe chanzo cha ajali na siyo namna ilivyotokea.....
Watuambie uzembe huu unaojirudia mara kwa mara una tiba gani?
Sasa kutichq vipi wakati imeshasekana kuwa waliofingua mlango ni wahudumu wa precision air ambayo ni kampuni binafsi??Kuna ajenda ya siri hapa Kumpaka matope Majaliwa wakati yeye alifanya Kazi yake ya kufika pale na kutoa watu na kuwapeleka nchi kavu.
Hii agenda ni kuficha udhaifu wa serikali juu ya kukabiliana na majanga baada ya watu kuwajibika
Hasara kubwa tuliyoipata ni nafsi zilizopotea kwenye ajali.Waziri mwenye dhamana Mbawara ndio wa kuaminiwa hao wengine walikua wanaua Soo tu, kumtengeneza Majaliwa wa mchongo na sasa issue imebuna ukweli umejulikana
Walikua wanajaribu kuzima moto kwa kutumia mafuta ya Petrol wanapeleka issue fasta fasta ili watu wasiongee na kuilaumu serikali ila sasa ukweli ushajulikana, Majaliwa sio shujaa ushujaa wake ni wa Mchongo tu aliotengezewa na WM Kassimu Majaliwa na Chalamila, ukweli ndio huoni mkurupuko wa serikali kupokea taarifa bila ushahidi... na bila kutumia common sense...