Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Kwamba Majaliwa wa Mchongo ndie aliefungua mlango au?Ukweli tunaujua
Kwamba Majaliwa wa Mchongo ndie aliefungua mlango au?Ukweli tunaujua
Kwamba Majaliwa wa Mchongo ndie aliefungua mlango au?
Kamwambie Waziri Mbawara atakupa majibu ungeweza ungetokea kwenye ile press release umtwange hayo maswali yako, yeye kaona chenye umuhimu ni kujua nani shujaa halisi alieufungua ule mlango na kuokoa watu 24 kutoka kwenye ndege? Jibu: wahudumu wa ndege, na ndilo jibu alilokuja naloBlack box kuisoma haichukui mwezi. Fuatilia ile ajali ya Germanwings air ways. Yule Pilot alieangusha ndege makusudi. Mawasiliano yalitolewa mara tu baada ya black box kupatikana. Walisikia njinsi Chien Pilot alivyokuwa anagonga mlango kumwambia CO pilot afungue mlango .Too sad.
Mlango wa ndege hauhitaji nguvu nyingine kutoka nje ili ufunguke. Tuliowahi kufanya kazi viwanja vya ndege siku zote tulikuwa tunaona na kusimama kwa mbali mara baada ya ndege kutua. Milango mara zote ilikuwa inafunguliwa kutoka ndani, bila usaidizi au nguvu yoyote kutoka nje. Labda kama ndege zinatofautiana au kwa sasa utaratibu umebadilika wa kufungua milango ya ndege.Nimeshawahi kupanda ndege mkuu…huo mlango watatoa Loki kwa ndani lakini kupush lazima nguvu nyingine kwa nje isaidie
Wavuvi wenzie wamemkataa, ndio maana Waziri Mbarawa kam-disqualify, na ukweli umejitenga na uongo that's how it'sMajaliwa ni shujaa
Nyie endeleeni kukalia politiki
Maana mwanasiasa akikuambia nje kuna nyesha…toka mwenyewe uloe ndio utaamini…
Ni upepo utapita!Yohana mbatizaji si unaona sasa jinsi mlivyochoka? Yaani hadi umeishiwa maneno. Kila uchao mnakuja na songombingo mpya. Basi kuweni waungwana uchaguzi ujao wakishinda wapinzani muwape tu; huenda wakaleta mabadiliko chanya wanayotaka wananchi walio wengi.
Umeambiwa mlango wa dharuraMlango wa ndege hauhitaji nguvu nyingine kutoka nje ili ufunguke. Tuliowahi kufanya kazi viwanja vya ndege siku zote tulikuwa tunaona na kusimama kwa mbali mara baada ya ndege kutua. Milango mara zote ilikuwa inafunguliwa kutoka ndani, bila usaidizi au nguvu yoyote kutoka nje. Labda kama ndege zinatofautiana au kwa sasa utaratibu umebadilika wa kufungua milango ya ndege.
Wavuvi wamefika baada ya dakika 5, jeshi la uokoaji tuambiwe walifika baada ya muda gani.Maana naona discussions za mlango ni tangu ndege imeanguka hadi sasa...
Kwanini hao watumishi wa ndege hawakupewa asante?View attachment 2426472
Uongo uliozushwa awali una maana kwamba kwa sasa serikali inashindana na vijana wa mitandaoni kupost uongo
Acha ijinga basiNimeshawahi kupanda ndege mkuu…huo mlango watatoa Loki kwa ndani lakini kupush lazima nguvu nyingine kwa nje isaidie
Awamu ya tano ahijawahi kukuacha salama lazima ikubutue hata kama haipoImekuwa kinyume, kwa sasa serikali ndio inaongoza kwa uongo. Na tabia hii ya serikali kusema uongo ilishika kasi sana awamu ya tano ili kusaka sifa za kijinga.
Siyo Bure, awamu ya Tano, awamu ya Tano, awamu ya Tano. Lazima Kuna kitu Cha ajabu sana walikufanyizia, vinginevyo huwezi kila wakati kushughulika na kitu ambacho Kwa sasa hakipo. Shughulika na mambo yanayotrend Kwa sasa.Imekuwa kinyume, kwa sasa serikali ndio inaongoza kwa uongo. Na tabia hii ya serikali kusema uongo ilishika kasi sana awamu ya tano ili kusaka sifa za kijinga.
Msingi wa hoja ni kwamba tunakataa kwamba huyu shujaa wa mchongo hakufungua mlango.Watu pia wanachanganya kuhusu kufungua mlango na walio husika kuokoa abiria walio toka kwenye ndege, vinginevyo watuambie kama wahudumu pia walitoa maboya ili abiria wajiokoe..ninacho jua hata kama majaliwa hakufungua mlango lakini aliongoza timu ya kuwaokoa abiria baada ya mlango kufunguliwa na hao wahudumu.
Kamuulize Kassim Majaliwa.Msingi wa hoja ni kwamba tunakataa kwamba huyu shujaa wa mchongo hakufungua mlango.
Kama ni miongoni mwa waliotoa msada wa maboya kwa abiria hiyo ni issue nyingine probably hiyo kazi aliifanya na wenzake Sasa kwa nn hizo sifa apewe yeye? Kwa manufaa ya Nani na walikuwa wanamdanganya Nani?
Nchi hii ina mambo ya hovyo Sana! Waokoaji wanamaji hawana oxygen kwenye mitungi halafu Mwigulu ananunua v8 za serikali za bil 500 kila moja ni mil 450 hadi 500! Tuko serious kweli! Ccm ni laana kubwa!Ni wapuuzi wanaoamini mlango ulivunjea kwa kasia la mtumbwi... hata ukoingia youtube unakutana na mashahidi ambao ni survivor walikua abiria wanasema mhudumu ndio alifungua mlango huo...
Awamu ya nne, tiba ya kikombe cha Babu wa LoliondoKwahiyo unakubali kuwa mlango ulifunguliwa na Majaliwa?