zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Siyo Bure, awamu ya Tano, awamu ya Tano, awamu ya Tano. Lazima Kuna kitu Cha ajabu sana walikufanyizia, vinginevyo huwezi kila wakati kushughulika na kitu ambacho Kwa sasa hakipo. Shughulika na mambo yanayotrend Kwa sasa.
Anachosema Tindo ni jambo la msingi sana. Issue ni Precedence, yaani mfano kama serikali imekua ikidanganya tokea awamu ya 5 kwanini uongo usiendelee awamu ya 6? Mfano awamu ya JPM takwimu za uchumi zilipikwa ila eti mnatoka povu ripoti ya Ajali ya precision Air ikipikwa.Awamu ya tano ahijawahi kukuacha salama lazima ikubutue hata kama haipo
Kama Uongo ulishageuzwa kuwa mode of operation kwa serikali ya awamu ya 5 au 4 then tutegemee uongo huo huo uendelee awamu ya 6.