Kaka
Kambaku natanguliza APOLOGY yangu kwako, nilikuquote kwa bahati mbaya na kila nilipokuwa nikijaribu kudelete ilikuwa inagoma. Actually yale maneno ya "FICHA UPUMBAVU WAKO" yalimlenga ndugu
DT125 baada ya kusema "KWANINI MARUBANI WALISHINDWA KUFUNGUA MLANGO WAO?"
Sorry for my disappointment bro.