Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

Mbona anaogopa kutaja hiyo spidi ya mwendo wa chini! Inaelekea basi la Abood litafika na kugeuza kabla ya treni kufika, halafu hiyo treni imekuwa ya kubeba wanaccm! Nani anagharamia?
Mmmh ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hamna kaka Abood bus ikimbizane na hiyo chuma inaweza kubiduka.
 
Hizo treni usipohakiki usalama zina collide kinyama.
Fuatilia China ile bullet train iliyo collide akati inatembea katika standard gauge speed ya 300 kmph.
Na ndio maana wakaamua kujenga maglev tracks kwaajili ya treni zenye speed kuanzia 300km-600 kmph speed.
Maana maglev ni sumaku usalama ni mkubwa.
Hizo kuanzia 290kmph speed kwenda chini ndio zitatumia standard gauge.
Tunasubiri hizo EMU walizosema zinafika mpaka speed ya 320kmph.
Waje watuue vizuri maana zile hazihitaji ubabaishi wa umeme watu mnaeza kufa mwajiona.
Zile treni za china zinatembea kama jet, acha tusibiri mradi ukishaanza kazi tuone
 
Hongera kwa hatua mliyofikia nawapongeza sanaa maana sio kweli leo tuwe na train sawa na Gauteng trains au Train za Hong Hong tunashukuru kwa kilichopatikana maana kufika huko ni hatua na wao walianza huku huku mpaka kufika huko..
Yaani unamshukuru mjomba wako kwa kutudanganya sisi! Mbona Kenya hawakua na mbambamba hizi.
 
Hizo treni usipohakiki usalama zina collide kinyama.
Fuatilia China ile bullet train iliyo collide akati inatembea katika standard gauge speed ya 300 kmph.
Na ndio maana wakaamua kujenga maglev tracks kwaajili ya treni zenye speed kuanzia 300km-600 kmph speed.
Maana maglev ni sumaku usalama ni mkubwa.
Hizo kuanzia 290kmph speed kwenda chini ndio zitatumia standard gauge.
Tunasubiri hizo EMU walizosema zinafika mpaka speed ya 320kmph.
Waje watuue vizuri maana zile hazihitaji ubabaishi wa umeme watu mnaeza kufa mwajiona.
Hizi maglev ndo zile treni inakuwa kama inaelea kwenye tracks eeh?
 
Mbona siku ile Abood ilianza kufika, tunaweka kumbukumbu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Aaah kaka hapana bhana sio kweli.
Abood toka Magufuli mpaka Msamvu 202 kilometres hutumia masaa manne mpaka matano kwa tochi maana itabidi ifate kiwango cha speed ya 60kmph kiusalama.
Labda ungenambia kidocho BM coach wale jamaa wanavunja sana sheria kuna muda hutembea hadi mwendo wa 90kmph na kufika Msamvu masaa matatu tu.
Majaribio ya kwanza yalitembea kilometa 290+ maana treni ilisimamia Mkundi kuelekea Kilosa.
Utagundua kilometa 89+ zimeongezeka.
Pia ilitoka saa 4 mpk 6 na dakika zake kaka.
Japo njiani inasemekana ilipungua ufanisi wa mwendo kwa umeme kuzimazima/ kupungua nguvu kila mara.
Au labda una taarifa nyingine kaka.
 
Hizi maglev ndo zile treni inakuwa kama inaelea kwenye tracks eeh?
Ndiyo hizo hizo mkuu.
Reli yake imenyooka kama barabara ya rami pembeni au katika kuna kishikizo cha sumaku baina yake na treni mkuu.
Ziko safe sana ndio maana zinaruhusu higher acceleration.
Zipo China ,Japan na Korea pekee tu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Aaah kaka hapana bhana sio kweli.
Abood toka Magufuli mpaka Msamvu 202 kilometres hutumia masaa manne mpaka matano kwa tochi maana itabidi ifate kiwango cha speed ya 60kmph kiusalama.
Labda ungenambia kidocho BM coach wale jamaa wanavunja sana sheria kuna muda hutembea hadi mwendo wa 90kmph na kufika Msamvu masaa matatu tu.
Majaribio ya kwanza yalitembea kilometa 290+ maana treni ilisimamia Mkundi kuelekea Kilosa.
Utagundua kilometa 89+ zimeongezeka.
Pia ilitoka saa 4 mpk 6 na dakika zake kaka.
Japo njiani inasemekana ilipungua ufanisi wa mwendo kwa umeme kuzimazima/ kupungua nguvu kila mara.
Au labda una taarifa nyingine kaka.
Tusubiri muda utajibu, tabia ya nchi itahusishwa.
 
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la mwl nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame!.
Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
Kwa akili yako unafikiri manufaa na athari za miradi ya ujenzi na teknolojia inapimwa kwa siasa za "uzalendo"? Subiri taarifa za M&E zifanywe - kama zitafanyika kama inavyotakiwa - hapo baadaye ndipo utandaze mipasho kwa nafasi yako. Hii ni kama serikali iko makini na utendaji wa mradi huo.

Inashangaza siku hizi masuala ya miradi mikubwa ya taifa inajadiliwa kiushabiki na mtu yeyote bila kuhusisha taaluma muhimu zinazotumika kuipanga na kuitekeleza. Ni kama mdau aliyeleta mada kumshangaa Zitto kusafiri na ndege ya ATCL wakati "alipinga" ununuzi wake. Akashauri asiruhusiwe tena kusafiri na ndege hizo! Ni wazi huyo mdau hakuna anachoelewa kuhusu suala lenyewe.
 
mliosikiliza taarifa ya habari tarehe 3/18/2024 saa mbili kamili .nimeshangazwa na waziri mbarawa kusema treni hii sio zile kama japani wala kokote sababu ya usalama.
walikuwa na maana gani kusema ya kasi inayotumia umeme
 
Cha muhimu account zimesoma. Hata tungeleta ๐Ÿš‚ za toleo la karne ya 18 watz wasingekataa
 
Watu washapiga vyao,

kwani huo usalama gani anaouzungumzia?
 
Back
Top Bottom