kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Eti critical thinking, acha usomi mzigo bwamdogo. waziri husika alisema atapandisha mwezi huu wasita!! Uwege conscious na up to date kidogo kabla ya uklitiko sinkingi wakoUtapandishe madaraja bila budget
Hivi wabongo akili zetu uwa tunaziweka wapi?
Yaani hii budget ya Magufuli ndio inaishia tarehe30 mwezi huu halafu hii hii wapachike billion 300 zitakuwa zimetoka wapi?
Tena bila bunge kuzipitisha yaani mnataka turudi kulekule kwenye kufanya kazi bila kufuata sheria?
Mama Samia kwa hili wala siwezi kumlamu mwacheni afanye kazi kwa mjibu wa sheria na katiba huwezi kupandisha watu madaraja na kuwaongeza pesa wakati pesa hazipo kwenye budget.
Tumekuwa nchi ya kulau tu kwa kila kitu bila kufanya critical thinking "