Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI. Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini

mbwembwe tu za mkwe
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
mkwe
 
Huyu Mchengerwa hawezi kufanya kazi kwa nguvu na kasi inayaopaswa. Yuko kwenye "comfort zone", kwasabb hata asipofanya hawezi kuondolewa maana rais ni mkwewe.
Ila nani ambae anaweza fanya hivyo ambae hayuko kwenye confort zone?

Kwanza sisi Watumishi Rais alituudhi sana kumtoa kule Utumishi alikuwa anatutetea sana.
 
Pumbavu ,mmegawa bure wala sio kuuza , mkataba unasemaje? ,mtakufa midomo wazi Mungu sio mwanadam, na tueshimiane
Pumbavu mkubwa na jinga kabisa,kama zimegawiwa Bure Kwa hiyo Serikali haipati pesa za Bandari au?

Mnaweweaeka mara zomeuzwa mara zimegawiwa Bure uzushi wa Kutafutia kiki.
 
Ndio akili Yako imeishia hapo?
20230217_220808.jpg
 
Pumbavu mkubwa na jinga kabisa,kama zimegawiwa Bure Kwa hiyo Serikali haipati pesa za Bandari au?

Mnaweweaeka mara zomeuzwa mara zimegawiwa Bure uzushi wa Kutafutia kiki.
Alafu sibishanagi na watu wenye laana ya ukoo, na kwa sababu laana dunia hujapata ,
Sikia mwanaharam wewe nakufuta kuanzia nywele yako ya mwisho mpaka kidole chako mguu , mpaka uatakapo tubu na kutoa sadaka kwa imani yako kwa wasiojiweza elfu 4700, asema Bwana na imekua
 
Kama nchi ni wananchi na mnakiri, why mwauza bandari za watu na hamuwasikilizi, watz wametoka huko kitambo danganywa
Hawa washamba ndio wamestuka sahizi kwamba wananchi wanafaa wasikilizwe. Its too late waraka ushawafikia raia.
 
Ukiwa fala huwezi fanya lolote zaidi ya ushabiki mandazi. Subiria tishet na kofia
Pumbavu mkubwa na jinga kabisa,kama zimegawiwa Bure Kwa hiyo Serikali haipati pesa za Bandari au?

Mnaweweaeka mara zomeuzwa mara zimegawiwa Bure uzushi wa Kutafutia kiki.
 
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

View: https://www.instagram.com/reel/CwyGTeVLpdz/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.

Huyo katibu tawala wa mkoa wa kilimanjaro nzunda huko tamisemi hakumfai hata kidogo. Pamoja na kwamba anajitahidi lakini kwenye mkoa wake ameshindwa kuondoa tatizo la wakurugenzi kuficha barua za wanaopata uhamisho wa Katibu Mkuu Tamisemi au Katibu Mkuu utumishi na kero ya muda mrefu sana ya wakuu wa idara na vitengo kuwanyanyasa na kuwafukuza wasaidizi wao maofisini wakati huo huo wakurugenzi hawana say yoyote.

Ameshindwa kuondoa tatizo la watumishi kuandikiwa barua za kuhamishwa kutoka kituo a kwenda b ndani ya halmashauri kwamba wamejiombea uhamisho wakati hawajawahi kufanya hivyo ili kukwepa kuwalipa gharama za uhamisho, sasa akipewa tamisemi ndiyo ataweza kunyoosha taasisi zilizo chini yake?

Fika halmashauri za kilimanjaro anakoongoza ongea na watumishi wa kada ya sheria, afya hasa walio kwenye hospitali za wilaya, watu wa maliasili, mipango na uchumi utaelewa.
 
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI.
Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini na wengine wanachimba na kumiliki migodi ya Dhahabu ,mfano DC wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya yeye amekuwa mchimbaji mdogo siku hizi.
 
Wewe ndio fala ambae unadhani kupinga Kila kitu na kutokuwa mapovu ndio unaonekana wa maana kumbe zoba tuu.

Nasikia harufu ya wivu ila Wacha kazi iendelee

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1698935343733526774?t=FajSAfj8ezy3KG-tZsEKnA&s=19

Kwa akili finyu huwa unaona kila kitu kinapingwa ila hio ni bogus mindset ndio inakufanya uwe hivyo. Hakuna kitu kitanyooka kwenye utawala Corrupt. Watu wako kulindana sio kuhakikisha kazi zinafanyika kwa weledi.
 
Huo ni kama mind disorder Kila kitu mnapinga Sasa si mtakufa Kwa stress mapema sana nyie au magonjwa ya Moyo?
 
Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI.
Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini na wengine wanachimba na kumiliki migodi ya Dhahabu ,mfano DC wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya yeye amekuwa mchimbaji mdogo siku hizi.
Bora wewe umeanza kuwa na akili Kwa kubadilika kutoka kupinga Kila kitu Hadi kufichuo uovu Ili Serikali ichukue hatua.

Na eryttrocite Niliona analaumu Kwa nini mbunge wake Mwakibete wa Ccm ametolewa unajibu Waziri 🔥🔥🔥

Ccm ni mzazi hakwepeki 🤣🤣
 
Back
Top Bottom