Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI. Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini

Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.

View: https://www.instagram.com/reel/Cwxn7RgtoRB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Hamna kitu apo. Ulimsikia mama mkwe wake wakati wa kumuapiza? Eti kuna moto utawaka mwakani, amemuweka kwa mkakati wa kuiba kura ktk uchaguzi wa serikali ya mitaa..

Sasahivi hatutaki uchaguzi wa serikali ya mitaa usimamiwe na tumiseni. Pumbavu zenu
 
Hamna kitu apo. Ulimsikia mama mkwe wake wakati wa kumuaiza? Eti kuna moto utawaka mwakani, amemuweka kwa mkakati wa kuiba kura ktk uchaguzi wa serikali ya mitaa..

Sasahivi hatutaki uchaguzi wa serikali ya mitaa usimamiwe na tumiseni. Pumbavu zenu
Huna hoja ,mwizi Huwa anatamka hadharani? Ujinga
 
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.

View: https://www.instagram.com/reel/Cwxn7RgtoRB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Mbona kama wote wame relax?
 
Nashindwa kuelewa kwa nini Afya isiwe chini ya wizard ya afya, elimu chini ya wizard ya elimu nk? Unakuta huyu tamisemi yupo kwenye afya, elimu, ujenzi, halmashauri za mikoa na wilaya....ndio maana hata ufanisi wa hii wizara hauonekani. Ipo kipigaji zaidi.

Mfanyakazi wa sekta ya afya aliyeko chini ya tamisemi analipwa kidogo kuliko aliyeko chini ya wizara ya afya, vitu vya ajabu hivi.
 
Wakuu w awilaya wengi wanafikri kukaa ofisini ndiyo kuwa kazini. Kazi zao wajikite sana kutembelea na kuwasikiliza na kujionea wananchi wao na kutatuwa kero zao za kila siku.

Hapa namuunga mkono Mchengerwa.

Kuna wau wengi sana hawafahamu hata haki zao wanazofikishiwa na serikali yao, kwa kuwa tu wakuu wa wilaya hawana muda wa kwenda kuongea na wananchi wao mara kwa mara.
 
hapana mkuu hawana hela kabisa. Ninachomaanisha ni kuwa wanahitaji kuwezeshwa
Nani ambao hawana pesa wakati sekretarieti ya Mkoa Kwa mfano Kila mwezi wanapata pesa za tozo ya mafuta Kwa Ajili ya supervision hapo Bado OC ya kawaida.

Unataka nikupe ushahidi humu? Acha ubishi basi.Ofisi ya DC ndio Bado Ina Hali mbaya.
 
Mkwe akifanya vizuri TAMISEMI hasa uchaguzi wa serikali za mitaa;atakuwa Naibu Makamu wa Rais(kuratibu shughuli za serikali).
 
Anza na Wale Bwana Afya na Bibi Afya. Vyakula vinauzwa ovyo Barbara I. Sokoni kuna Embe mbovu na Parachichi unaambiwa za Juice. Maji ya Vyakula yanamwagwa ovyo mitaani.
 
Maigizo ya kujifariji,kichapo kinaanz mwakani
🤣 Chonde chonde tu msije mkafungia mikutano ya hadhara tu ili kuwablock wapinzani. Maana tumeona kazi ya Mama kuswap mawaziri na kujaza wanasheria watupu
 
Back
Top Bottom