G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Anajizima data 🤣🤣🤣Kama wewe!!! Kama kwa maelekezo ya Samia na haya ya Mchengerwa hujajifunza kitu basi wewe ni kiazi wa Kiarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajizima data 🤣🤣🤣Kama wewe!!! Kama kwa maelekezo ya Samia na haya ya Mchengerwa hujajifunza kitu basi wewe ni kiazi wa Kiarabu
🤣 Mungu anajibu maombi kwa namna ya pekeeNimefanya kazi TAMISEMI na niseme tu endapo huyu bwana atakuwa hapo mpaka uchaguzi wa mwakani basi majibu watayapata na watakuwa wamechelewa sana
Hahahaha nchi haiishiwi vituko hiiKwamba tuamini kuwa Tamisemi hapakuwa na mawaziri ila sasa ndio kaja Waziri siyo !
Ndio maana huyu ana rekodi ya aina yake hakuna kucheka na nyaniKwamba tuamini kuwa Tamisemi hapakuwa na mawaziri ila sasa ndio kaja Waziri siyo !
Mama mkwe lazima amwonee aibu mkweHuyu Mchengerwa hawezi kufanya kazi kwa nguvu na kasi inayaopaswa. Yuko kwenye "comfort zone", kwasabb hata asipofanya hawezi kuondolewa kwakuwa rais ni mkwewe.
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.
“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”
“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”
Chanzo: Millard Ayo
My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
View: https://www.instagram.com/reel/Cwxn7RgtoRB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==