Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI. Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini

Huo ni kama mind disorder Kila kitu mnapinga Sasa si mtakufa Kwa stress mapema sana nyie au magonjwa ya Moyo?
Vitu vya maana kama barabara ya kulipia naipongeza serikali. Ila upuuzi siwezi kuunga mkono. Mafuta hamna kwenye sheli unataka hilo asifiwe shangazi yako kwamba anaupiga mwingi. Ndio maana nawatukanaga
 
Huyo katibu tawala wa mkoa wa kilimanjaro nzunda huko tamisemi hakumfai hata kidogo. Pamoja na kwamba anajitahidi lakini kwenye mkoa wake ameshindwa kuondoa tatizo la wakurugenzi kuficha barua za wanaopata uhamisho wa Katibu Mkuu Tamisemi au Katibu Mkuu utumishi na kero ya muda mrefu sana ya wakuu wa idara na vitengo kuwanyanyasa na kuwafukuza wasaidizi wao maofisini wakati huo huo wakurugenzi hawana say yoyote.

Ameshindwa kuondoa tatizo la watumishi kuandikiwa barua za kuhamishwa kutoka kituo a kwenda b ndani ya halmashauri kwamba wamejiombea uhamisho wakati hawajawahi kufanya hivyo ili kukwepa kuwalipa gharama za uhamisho, sasa akipewa tamisemi ndiyo ataweza kunyoosha taasisi zilizo chini yake?

Fika halmashauri za kilimanjaro anakoongoza ongea na watumishi wa kada ya sheria, afya hasa walio kwenye hospitali za wilaya, watu wa maliasili, mipango na uchumi utaelewa.
Mpenzi taarifa atachukua hatua
 
Vitu vya maana kama barabara ya kulipia naipongeza serikali. Ila upuuzi siwezi kuunga mkono. Mafuta hamna kwenye sheli unataka hilo asifiwe shangazi yako kwamba anaupiga mwingi. Ndio maana nawatukanaga
Upuuzi upi? Hapa Waziri anawashushua wapuuzi unapinga ,wewe ni Bure kabisa
 
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
Ngoja tuone hii episode ya futuhi itaishaje!!
 
Viongozi wazuri mliwaondoa kwa kumkomoa Mwendazake!! Sasa mmejaza mijitu isiyo na uwezo wa kufanya kazi.

Siyo kwamba wamerelax hapana, ni kwamba hawana uwezo
 
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.

---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.

“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”

“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”

Chanzo: Millard Ayo

My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
Suala siyo kunyooka. Watatembea hawana posho??
 
Wewe chawa na kup

Wewe chawa na kupe matarajio yako ni yapi? Jini haliwezi kumtoa jini mwenzie kwenye nafsi ya mtu!!!
 
Back
Top Bottom