ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Jini wewe unalijua? Subiria unyooshweWewe chawa na kup
Wewe chawa na kupe matarajio yako ni yapi? Jini haliwezi kumtoa jini mwenzie kwenye nafsi ya mtu!!!
Hamna kitu apo. Ulimsikia mama mkwe wake wakati wa kumuapiza? Eti kuna moto utawaka mwakani, amemuweka kwa mkakati wa kuiba kura ktk uchaguzi wa serikali ya mitaa..Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.
“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”
“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”
Chanzo: Millard Ayo
My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
View: https://www.instagram.com/reel/Cwxn7RgtoRB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Huna hoja ,mwizi Huwa anatamka hadharani? UjingaHamna kitu apo. Ulimsikia mama mkwe wake wakati wa kumuaiza? Eti kuna moto utawaka mwakani, amemuweka kwa mkakati wa kuiba kura ktk uchaguzi wa serikali ya mitaa..
Sasahivi hatutaki uchaguzi wa serikali ya mitaa usimamiwe na tumiseni. Pumbavu zenu
Kuna mwenye akili ndani ya ccm?Huna hoja ,mwizi Huwa anatamka hadharani? Ujinga
Ni wewe hapo unazoKuna mwenye akili ndani ya ccm?
Mngekuwa na akili mlango mkuu wa uchumi mngempa dpw??
Sina kwasababu na mimi ni mwana ccm kindakindaki.Ni wewe hapo unazo
Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC.
---
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na kutatua kero zao na amewaelekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanapokea taarifa za Wakuu wa Wilaya kuhusu ziara zao kwa Wananchi.
“Kuanzia sasa Wakuu wa Mikoa wote na Wakuu wa Wilaya washuke chini kusikiliza kero za Wananchi, asilimia 45 ya Wakuu wa Wilaya hawafanyi kazi kabisa, hawasikilizi kero za Wananchi, kwahiyo tunataka kila mmoja afanye kazi ili tuweze kutimiza malengo ya Watanzania, malengo ya Chama cha Mapinduzi na malengo ya Rais wetu”
“Niwaombe Watumishi wenzangu kuwa sasa tunairejesha Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Wananchi, maana yake tunataka kufanya kazi hasa ili tuweze kufanikiwa na malengo ya Mh. Rais yaweze kufanikiwa, hivyo lazima tufanyekazi usiku na mchana hakuna namna, Wizara yetu tunaisogeza kwa Wananchu, tutasikiliza kero za Wananchi”
Chanzo: Millard Ayo
My Take
Lazima Tamisemi Wanune,ikimpendeza mh.Rais angemteua na Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro somebody Nzunda ndio awe Permanent Secretary wa Tamisemi,watu wangenyooka.
View: https://www.instagram.com/reel/Cwxn7RgtoRB/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Mkuu wa wilaya au mkoa ana budget?Posho zipo za kutosha
Kuna taasisi Haina budget?Mkuu wa wilaya au mkoa ana budget?

Ya kutembelea miradi ipo??? Labda huzijui LGA. Huwa wanambeleleza kwa wakurugenziKuna taasisi Haina budget?
Zote zipo ,mama alishaweka pesa huko siku nyingi sana.Ya kutembelea miradi ipo??? Labda huzijui LGA. Huwa wanambeleleza kwa wakurugenzi
hapana mkuu hawana hela kabisa. Ninachomaanisha ni kuwa wanahitaji kuwezeshwaZote zipo ,mama alishaweka pesa huko siku nyingi sana.
Nani ambao hawana pesa wakati sekretarieti ya Mkoa Kwa mfano Kila mwezi wanapata pesa za tozo ya mafuta Kwa Ajili ya supervision hapo Bado OC ya kawaida.hapana mkuu hawana hela kabisa. Ninachomaanisha ni kuwa wanahitaji kuwezeshwa
🤣 Chonde chonde tu msije mkafungia mikutano ya hadhara tu ili kuwablock wapinzani. Maana tumeona kazi ya Mama kuswap mawaziri na kujaza wanasheria watupuMaigizo ya kujifariji,kichapo kinaanz mwakani