Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI. Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini

Nimefanya kazi TAMISEMI na niseme tu endapo huyu bwana atakuwa hapo mpaka uchaguzi wa mwakani basi majibu watayapata na watakuwa wamechelewa sana
🤣 Mungu anajibu maombi kwa namna ya pekee
 
Huyu Mchengerwa hawezi kufanya kazi kwa nguvu na kasi inayaopaswa. Yuko kwenye "comfort zone", kwasabb hata asipofanya hawezi kuondolewa kwakuwa rais ni mkwewe.
Mama mkwe lazima amwonee aibu mkwe
 
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…