Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.
"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa, nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka

Kiongozi ambaye huwa anatoa kauli za namna ya hiyo huwa sio kiongozi mzalendo kwa nchi yake bali huwa anatanguliza maslahi yake binafsi na Chama chake...Kwani Arusha wanakaa wapinzani peke yake?
Kwani sehemu ambayo wapinzani walishinda ubunge na udiwani haupeleki maendeleo kisa Wananchi walichagua kiongozi wa upinzani, huo upumbavu kabisa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.
"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka" View attachment 3115377
Hapo rufiji yametokea ,majanga ya mafuriko alikaa kimya.
Amefuta vijiji ngorongoro, waliokuja kuokoa jahazi, ni akina lukuvi na kabudi, yeye alijifucha.