Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Kwenye jimbo lake hakuna barabara hata moja ya lami nao wamecheleweshwa na nani?? Kuna barabara ya Nyamisati kiungo kikubwa unapokwenda Mafia na kuna watalii wengi huitumia hii anashindwa hata kuitia lami awache upuuzi wake asitutie hasira.
 
Mlioko jimboni kwa Mkwe tupeni hali ya maendeleo ilivyo je inaridhisha?
Kuanzia Nyamwage, Kiparang’anda na kwingine wenzetu huko nasikia maendeleo kama yote ? 🤣🤣🤣
Maana tangu Uhuru huko ni CCM tu .

Wapinzani wanachelesha maendeleo kumbe .
 
Ndio nimekuuliza, kwa kina Mchengerwa ni ccm toka dunia imeumbwa, je wao na Arusha wako vipi? Tuanzie hapo ili mjue hakuna wa kudanganywa tena miaka hii.
Wao ni Jimbo la Kijijini sio mjini
 
Vipi hali ya majimbo ambayo tangu Uhuru wa Tanganyika ni CCM maendeleo ni kama yote ?
Barabara zipo za kukidhi mahitaji, Shule zenye mabweni za kukidhi mahitaji, Maji safi hadi majumbani yanapatikana through out the year?
Vituo vya polisi kila mtaa vipo kwaajili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao?
Zahanati na vituo vya afya je?
Accessability to social services zipo kama zote ?
Zahanati Zina vifaa Tina na madaktari?

Nyie 🤔🤔🤔
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Kwani tangu 2020 nani anaongoza Arusha aliyeicheleweshea maendeleo?
 
Kizimkazi yenyewe saivi ndiyo inajengwa Kwa Kasi😭😭😭
Hapo hatujaongelea ruangwa na kule Kwa makam prezoo kigoma...
Wajinga wameshawajua Hawa wanasiasa roporopo wasakatonge!!
Alafu mnalazimisha walimu waache kufundisha watoto wetu wake kuskiliza haya mananiliuu mxyiuuu!
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Hena ndima
 
Lema na bangi zake katupotezea muda sana hapo Arusha.

Mpaka anamaliza ubunge hakuna hata stand hapo mjini.

Kawajaza watu ujinga wa maandamano tu.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Mkwe wa mkuuuuuu😁
Kwenye jimbo lako lisilo na mawaa kuna nini cha kujivunia zaidi ya ufakiri?
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Ni busara sana huyu waziri Nchengerwa kufuta hizo kauli zake haraka sana.
 
Kwa mitazamo ya namna hii... hii nchi bado saaana!!!

Elimu itangulie kabla ya, 1. Kauli zetu 2. Matendo yetu
 
"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa, nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka
Huo ni ibaguzi wa kiwango cha juu, jimbo likiongozwa na upinzani ni siasa za maji taka?
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema mkoa huo umekuwa ukijichelewesha wenyewe kutokana na siasa za majitaka.

Pia, Soma: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

"Ninapongeza jitihada na kazi kubwa inayofanywa katika mkoa huu wa Arusha, na si siri yamesemwa mengi hapa. Nimepita mitaani nimejionea kasi ya maendeleo, lakini lazima tukiri Arusha tulijichelewesha wenyewe kwa siasa za majitaka"
View attachment 3115377
Nchi yote hii iwe na SIASA Safi halafu Arusha pekee ndo majitaka. VISINGIZIO HIVI NI kuhalalisha upigaji na wizi. Kiongozi anayepayuka na maneno kama haya, HATUFAI.
 
Legacy ya Lema ni ipi hapo Arusha baada ya kuongoza kama mbunge kwa miaka 7?
Serikali ndio inawajibu wa kuwaletea wananchi fedha za maendeleo,.kazi ya mbunge ni kuikumbusha serikali,
 
Legacy ya Lema ni ipi hapo Arusha baada ya kuongoza kama mbunge kwa miaka 7?
Mkuu rejea wajibu na majukumu ya mbunge.

Kwa maana hiyo, mpinzani unaye mhukumu alisimamia majukumu kikamilifu bungeni kama ilivyo kwa mbunge wa sasa wa utawalani.

Kuhusu legasi ya wote wana legasi nzuri ya kuwawakilisha wananchi vizuri bungeni.

Kazi ya maendeleo ni jukumu la serikali. Mchengerwa ni mtumishi wa serikali aache ubaguzi, wananchi wote wanalipa bila kujali ni upinzani au utawalani!!!

Hapa ndipo hoja ya majimbo kwenye kugawana keki ya taifa kwa usawa inakuwa dawa ya ubaguzi huu wa makusudi!!!
 
Back
Top Bottom