Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

Kule jimboni kwake Ikwiriri na Nyamwage hamna maji taka atusaidie kujua kuna Km ngapi za lami?? hata ofisi za wafanyakazi ni zile za mkoloni!!!
 
Kiongozi ambaye huwa anatoa kauli za namna ya hiyo huwa sio kiongozi mzalendo kwa nchi yake bali huwa anatanguliza maslahi yake binafsi na Chama chake...Kwani Arusha wanakaa wapinzani peke yake?
Kwani sehemu ambayo wapinzani walishinda ubunge na udiwani haupeleki maendeleo kisa Wananchi walichagua kiongozi wa upinzani, huo upumbavu kabisa
Wapinzani hawajuwi waanzie wapi waishie wapi, vipaumbele vyao ni kulewa tu. Hawana sera.
 
Back
Top Bottom