Kiongozi ambaye huwa anatoa kauli za namna ya hiyo huwa sio kiongozi mzalendo kwa nchi yake bali huwa anatanguliza maslahi yake binafsi na Chama chake...Kwani Arusha wanakaa wapinzani peke yake?
Kwani sehemu ambayo wapinzani walishinda ubunge na udiwani haupeleki maendeleo kisa Wananchi walichagua kiongozi wa upinzani, huo upumbavu kabisa