Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

Huyo mchengweraaa sijui ni ameoa mtoto wa Samia kwahiyo ni familia inajipongeza kwa kutawala mazuzu na kukandamiza demokrasia. Hana uhalali wowte wa kupongezwa na zuzu yeyote huko bungeni au lumumba buku7
Kuna baadhi ya watz mna mawazo mufilisi
 
Piga kazi Mungu ni wawote
 
Ni wale wale tu; 5''....C-C-M-C-C-M-C-C-M....3''
 
Cdm wameanza lawama lakini hakika huyu ndugu waziri kesi ya mbowe kaikutwa ishapikwa na kina Sabaya,bashite wao wanatoa ushauri tuu maana tayari iko kwenye implementation phase.

Lazima cdm wajiandae kisaikolojia mwamba kukaa mjengoni kwa muda labda mpaka 2027 akitoka atakutana na mchakato wa new constitution. Imesiha hiyo wachaga tutawaona kama mna umoja au mtafuata vipande vya shekeli
 
Mbowe kawa gaidi kabla hata Mchengelwa hajawa waziri,
Msiwape watu ubaya usiowahusu,
Mahakama ni huru sana wacha tuiache ifanye kazi
Ni kweli alishahukumiwa kabla hajakamatwa.rejea mazungumzo ya Kikeke(BBC) na Rais.
 
Huyo mchengweraaa sijui ni ameoa mtoto wa Samia kwahiyo ni familia inajipongeza kwa kutawala mazuzu na kukandamiza demokrasia. Hana uhalali wowte wa kupongezwa na zuzu yeyote huko bungeni au lumumba buku7
Mkuu,

MÀTAGA yanajifanya hayajui.
 
Huyu Waziri ni mzuri sana kama hatakuja kuvimbiwa. Amefanya mambo mengi sana ndani muda mfupi ikiwemo suala la upandushaji madaraja watumishi n.k

Suala la Mbowe msimpakazie kijana wa watu. Habari za Mbowe mwulizeni Sirro.
 

Huyu hana lolote, ni kuropoka tu.
 
Hongera zake mh.Waziri💪

Kongole kwake mzalendo mh.Mchengerwa💪

Hakika jamaa ni smart mno👍

SIEMPRE JMT
 
😍
 
Hana jipya,katoka familia ya Raisi,
Huyo ni mkwe wa Raisi Samia,ameoa binti wa Raisi
Majungu hayo....

Kuoa kwa Rais si hoja....

Hata Rais anaweza kuwa na mwanaye Rais mfano mh.Dr.Mwinyi na hili si la ajabu.....
 
Mfumo wa wadanganyika hautaki mtu ambaye yuko humble, logical and objective.......ajiandae kukumbana na wakwamishaji, hivi karibuni alitoa maagizo maafisa utumishi walio kwenye wakala za serikali ambao hawakupeleka majina ya watumishi waliostahili kupandishwa vyeo washushwe vyeo au waondolewe kwenye nafasi zao lakini bado tunawaona wanaji nafasi na makeke yao kama kawaida......viongozi aina ya Magu wapo very bold kiasi kwamba inabidi ufikirie mara mbili mbili kujaribu kupuuzia maagizo yake, r.i.p JPM....​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…