Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

Simfahamu vizuri lakini anaonekana hapandishi mabega kama baadhi ya vijana...Kila la heri boss wetu mkuu
 
Wewe ndiye Mchengerwa mwenyewe au nkewe
 
Mateso anayopitia Mboe yanaumiza wengi sana mioyoni mwao.
Hata huko kwenye system kuna watu hayawafurahishi ni basi tu.
Lakini Mungu yupo na anaona yote.
 

Mama hawezi kumgusa ,akijaribu anamresha Binti kwao.
 


Hiyo Ndiyo ID Ya Waziri

Namkumbusha Fagio Bovu Hafagiliwi Mtu
Ndugu Zangu, Wizara Ipo Malalamiko Yapo
 
Mbowe kawa gaidi kabla hata Mchengelwa hajawa waziri,
Msiwape watu ubaya usiowahusu,
Mahakama ni huru sana wacha tuiache ifanye kazi
Bange mbaya sana!
wakiitwa watu wenye akili timamu utathubu kweli kwenda wewe hayawani?
 
Watumishi Wana madai ya arrears tangu 2018 lakini mpaka leo 2021 hakuna malipo.Mjukuu wangu Mchengerwa lipa madai ya watumishi acha mashairi na ngonjera. They needs actions and not words
 
Watumishi Wana madai ya arrears tangu 2018 lakini mpaka leo 2021 hakuna malipo.Mjukuu wangu Mchengerwa lipa madai ya watumishi acha mashairi na ngonjera. They needs actions and not words
Nimecheka kwaesauti
 
Nkwe kawalipa machawa sasa kazini.mm.m gorofa wake nyuma kanisa kkkt kiji unaota kama uyoga basi sawaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…