Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

Hakuna point hata moja kwenye vijielezo vyako
 
Wachaga wana umoja maslahi yao yakiguswa. Wakati wa Lowassa tuliweza kuona ni kwa namna gani jamaa wa ARUSHA NA KILIMANJARO wanapenda siasa za ukanda.

Magufuli akaja akawa anawapiga mule mule.
 
Wachaga wana umoja maslahi yao yakiguswa. Wakati wa Lowassa tuliweza kuona ni kwa namna gani jamaa wa ARUSHA NA KILIMANJARO wanapenda siasa za ukanda.

Magufuli akaja akawa anawapiga mule mule.
Nikweli japo sio wote mkuu
 
Simfahamu ila nimemuelewa kupitia hii hotuba yake
 
Angekuwa mtu wa maana kipindi cha dikteta angesema neno kuhusu watumishi
 
Huyo mchengweraaa sijui ni ameoa mtoto wa Samia kwahiyo ni familia inajipongeza kwa kutawala mazuzu na kukandamiza demokrasia. Hana uhalali wowte wa kupongezwa na zuzu yeyote huko bungeni au lumumba buku7
Marioo anaishi kutegemea unolake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…