Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna point hata moja kwenye vijielezo vyako
🤣👍👍Comment of the day
Wachaga wana umoja maslahi yao yakiguswa. Wakati wa Lowassa tuliweza kuona ni kwa namna gani jamaa wa ARUSHA NA KILIMANJARO wanapenda siasa za ukanda.Cdm wameanza lawama lakini hakika huyu ndugu waziri kesi ya mbowe kaikutwa ishapikwa na kina Sabaya,bashite wao wanatoa ushauri tuu maana tayari iko kwenye implementation phase.
Lazima cdm wajiandae kisaikolojia mwamba kukaa mjengoni kwa muda labda mpaka 2027 akitoka atakutana na mchakato wa new constitution. Imesiha hiyo wachaga tutawaona kama mna umoja au mtafuata vipande vya shekeli
Huyu Mchengelwa ndio boss wa TISS?Nikweli japo sio wote mkuu
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki ya Serikali au hata benki binafsi,
Hoja ile imepelekea Serikali kupeleka benki ya Maendeleo katika wilaya hiyo Kongwe na hata leo ukipita hapo njiani utaiona banki hiyo,hapa ndio nilianza kuona kitu kilichopo ndani ya Waziri huyu,
Hebu Msikilize hapa anachowaambia watumishi wenzake, Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kutuletea viongozi wa aina hii,
Watumishi chapeni kazi kwa bidii na maarifa kama ni mtetezi wa stahiki zenu zote hakika mnae,
Angekuwa mtu wa maana kipindi cha dikteta angesema neno kuhusu watumishiUkiona mtu kiongozi ana tafuta watu wa kumpatia kiki mitandaoni jua kuna jambo nyuma ya pazia.
Mchengerwa yuko kwenye kundi lililo mpachikia Mbowe kesi ya ugaidi. Nadhani sasa wameanza kuumbuliwa kwa kufeli an yao ya kesi za kubumba. Elewa Mh. Rais alisha onya hay amakesi wa kutunga. Sasa kuna kitu kiko jikoni na jamaa anataka aonekane ana akili ili Mama amuache.. Hata kama yeye ni. Mkwe kwenye hili jambo linalo chagua taswira ya nchi hatakuwa na undugu. Mchengerwa umechelewa sana.
sikusema lakini niliandikaWewe mbona hukusema?
Lakini ujumbe si ulifika?Hahahaha kwa fake "ID" sio?
Marioo anaishi kutegemea unolakeHuyo mchengweraaa sijui ni ameoa mtoto wa Samia kwahiyo ni familia inajipongeza kwa kutawala mazuzu na kukandamiza demokrasia. Hana uhalali wowte wa kupongezwa na zuzu yeyote huko bungeni au lumumba buku7
Lumumba kwa sasa ni buku 10 sio saba tena,Wewe lumumba buku7 isije ukaniuliza tena kuwa baada ya kumuoa je jamaa anampa mpiriti kisawa sawa?
MKUU KWEMA?Lakini ujumbe si ulifika?
Safi mkuuMKUU KWEMA?
DaahVuta pumzi na unywe maji kwani CCM ipo tu bwasheee 🤣
Njoo CCMSafi mkuu
Kufanya nini mkuu? nilishatoka kitambo snNjoo CCM