Waziri ametimiza wajibu wake, hongera zake. Wabanwe mbavu kila kona mambwa hao. Magufuli alikuwa cmwanaume hayo mazombie yalikimbia nchi yalikuwa hayakohoi. Samia alikosea sana kuyarudisha nchini nyoka ni nyoka tu. Mbn mzee Mwinyi hamkurudi Oscar Kambona? Lissu siyo kiumbe cha kuichekea, Heche ni jitu lisilo na ustaarabu ht ulifanyie nini
Jidanganye hivyo hivyo😂We zombie kila waziri ana power ktk jurisdiction yake
Gwaji MkonoMchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?
Jidanganye hivyo hivyo😂
Ndio maana hizo sarakasi zao ni kama tunawakumbushia tu humu...kila kitu wamekifanya kuwa cha kipuuzi.
..hata hijja nayo wameifanya kuwa jambo la hovyo hovyo.
..nadhani uliona mizaha aliyokuwa akifanya Mwijaku chawa wa Mama alipokwenda hijja.
Waziri ana kiburi sana. Anaposema TAMISEMI ipo chini ya Ofisi ya Rais kweli, lakini ujumbe ni kwamba ana ripoti kwa Rais. Mchengerwa amekuwa ''de facto'' PM au VP, sidhani wawili hao wanaweza kumwambia kitu.Na sasa wanajiandaa kufanya hivyo hivyo na uchafuzi wa Oktoba!
Sina hakika kama safari hii waTanzania watakubali.; hasa NRNE ikiwakolea vyema vichwani wananchi.
Dogo mchengerwa tambua hii kitu kuwa Mama Mkwe wako hatakiwi na Watanzania walio wengi, Mama yako anaboronga mno na ndiyo maana hatakiwi, unataka tunyamaze tu? Wewe umeona wapi watu wanatekwa yeye anakaa kimya tu akichekelea, angekamatwa shemeji yako Abdul wewe na Mama yako mngesemaje?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Ngoja tuone this time Nani anapotezwa, last time alivyosema huu upumbavu wake Mbeya, siku iliyofuata Mdude_Nyagali akapotezwa na Askari kutoka Mbeya Central wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa mpumbavu"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
Ndio maana Hijja sio swala la pesa.
Watu wanaenda huko wakiwa washamaliza anasa.
Sasa alienda Macca kufanya nini wakati bado ajamaliza kutenda dhambi.
Sawa kiongoziMkuu, mambo ya Uislam ungeacha tu kuyazungumzia bila ya Elimu. Hakuna sharti kuwa ukitaka kwenda Hijja ni sharti uwe umemaliza kutenda dhambi. Hijja ni nguzo katika nguzo za Uislam. Ni wajibu kwa mwenye uwezo wa kuhiji kwenda Hijja.
..kila kitu wamekifanya kuwa cha kipuuzi.
..hata hijja nayo wameifanya kuwa jambo la hovyo hovyo.
..nadhani uliona mizaha aliyokuwa akifanya Mwijaku chawa wa Mama alipokwenda hijja.