Na mnavopenda miti, kuepushwa ni 0.3% mkuu. Dawa ni kuacha kabisa miti.Kwetu hiyo kitu huwa inaitwa Juliana au ngwengwe
MUNGU MWENYEZI atuepushe nayo
Jidaanganyee!!Ndiyo hiyo, mkuu hapo juu amepiga hesabu, ni asilimia 2.5
Watu asilimia 2 ni wachache.
Kupata HIV inatokea kwa bahati mbaya sana.
Umkute yule ameathirika kabisa ameliwa fangasi ana vidonda, na wewe uwe na kaupele juu ya uume kachubuke.
Mkuu asilimia Bado Iko chini ila kujikinga ni muhimu Kwa harakaharaka ni kama ni kama 0.97% wana ngoma waliothibitikaDuh nilikuwa na underated huu ugonjwa kumbe mtaani watu wanaumwa